kujadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Mataifa 50 kukutana Uswisi kujadili amani ya Ukraine na Urusi

    Uswisi inaratajia kuwaalika washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa mbalimbali katika mkutano utakaolenga kuleta amani na upatanishi wa Ukraine na Russia. Mkutano huo unatarajia kufanyika kwa siku mbili kuanzia Juni 15 hadi 16 katika Hoteli ya Bürgenstock Hotel nchini humo.Taarifa iliyotolewa na...
  2. L

    Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato wa Utungwaji wake na siyo wakati wa utekelezaji wake. Ameyasema hayo kutokana na swali lililoulizwa...
  3. Nsanzagee

    Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa hovyo sana!

    Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa...
  4. THE FIRST BORN

    Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  5. JanguKamaJangu

    Ukraine yapinga ombi la Papa Francis kujadili kusitisha vita na Russia

    Ukraine Jumapili ilipinga wito wa Papa Francis wa kujadili kusitisha vita na Russia, huku Rais Volodymyr Zelenskiy akisema Papa alikuwa akifanya “upatanishi kwa mbali” na waziri wake wa mambo ya nje akisema Kyiv haitasalimu amri. Francis alisema kuwa wakati mambo yanaelekea kubaya kwa pande...
  6. Shining Light

    Baraza la Mawaziri wakaa kikao kujadili Miswada na Sera mbalimbali

    Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida cha tatu cha mwaka 2024. Mbali na Uchumi kimejadili na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa katika...
  7. BARD AI

    CHADEMA kujifungia kwa saa 48 kujadili Azimio la Mtwara

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu. Pia, kikao hicho kitakachohitimishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kitafanya...
  8. DR Mambo Jambo

    SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

    Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza .... Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza...
  9. R

    Marais wa nchi za SADC wakutana kwa dharura kujadili Kipindupindu.

    Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya? Kwamba na umaskini wetu ambao ndio chanzo cha kushindwa kukabiliana na maradhi kama haya tunawasha ndege marais wa SADC...
  10. Webabu

    Waarabu wakataa ujanja wa US. Waikatalia kujadili yahusuyo baada ya vita vya Gaza.Kinachotakiwa ni kusitishwa kwa vita na kufufuliwa kwa Palestina

    Ile dilomasia ya kinafiki ya Marekani kuwazuga waarabu inazidi kukwama. Mawaziri wa nchi za nje wa jumuiya ya nchi za kiarabu wamemkatalia waziri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kujadiliana nao juu ya namna ya kuiendesha Gaza baada ya vita kumalizika.Mazungumzo ya aina hiyo yamepata vikwazo...
  11. BARD AI

    Mbunge ataka Bunge lisitishe shughuli zake kujadili vurugu, watu kupigwa risasi

    Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi. Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo baada ya...
  12. GENTAMYCINE

    Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

    Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
  13. ubongokid

    Uzi maalum wa kujadili uwezo wa viongozi Tanzania

    Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini: Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake Haelewi...
  14. BARD AI

    LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  15. Ndimbo M

    Muhimu sana: Tusome na kujadili kuhusu bandari na DP World kwa namna nyingine

    Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
  16. ChoiceVariable

    Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  17. comte

    Ushahidi huu hapa kuonesha kuwa bunge lilipelekewa kujadili na ili kubariki makubaliano na siyo mkataba

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA Simu: +255 026 23222761-5 Ofisi ya Bunge, Fax No. +255 026 2322624 S.L.P. 941, E-mail: cna@bunge.go.tz DODOMA...
  18. M

    Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

    WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU! Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania! Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
Back
Top Bottom