ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,043
- 3,932
Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini:
Kwa Mfano kama ni Rais wa Nchi Unaandika tu Rais /Jina lake Samia Suluhu Hassan ana IQ ya 1-Anaelewa nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu wake.
Kisha chini yake eleza Sababu.Viongozi wa upinzani na wanaharakati wanahusika PIA katika upimwaji huu
Tumia skeli hii sio tu kwa ajili ya viongozi wakubwa bali unaweza kuitumia dhidi ya Mwenyekiti wa Mtaa wako, Diwani, Mkuu wa kitengo fulani, Mkuu wa Polisi, Mbunge, Mkurugenzi wa Halmashauri, Waziri, au mtumishi yeyote anayelipwa kwa kodi za wananchi.
Zingatia Kipengele cha sababu.
Kuna wazalendo watapita huku na kuchukua taarifa na kuzifanyia Kazi.
Kila la heri
- Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu
- Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake
- Haelewi nafasi na Wajibu wake lakini anatumia nafasi yake kutimiza wajibu wake
- Haelewi nafasi na wajibu wake wala hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake
- Hana sifa kabisa za kuwa Kiongozi/Mtumishi