korea kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Korea Kaskazini Yatuma Puto Zenye Taka na Kinyesi Kuvuka Mpaka wa Korea Kusini Kama "Zawadi za Uaminifu"

    Korea Kaskazini ilituma mamia ya puto zilizojaa taka na kinyesi kuvuka mpaka ulioimarishwa kuelekea Korea Kusini Jumatano, ikiziita "zawadi za uaminifu."Picha kutoka kwa jeshi la Korea Kusini zilionyesha puto zikiwa na mifuko ya plastiki iliyofungwa, baadhi zikiwa na taka na moja ikiwa na lebo...
  2. GoldDhahabu

    Korea Kaskazini na Iran ni nchi salama kwa Mtanzania?

    Kwa jinsi Iran inavyosigana na mataifa makubwa kama Marekani, inaweza kuleta picha kuwa ni nchi hatari kuishi. Lakini ukifuatilia taarifa za hapa Tanzania, ni wazi kuwa nchi ya Tanzania na Iran hazijawahi kuhasimiana. Hata kipindi fulani, Iran iliipatia Tanzania msaada wa matrekta madogo 100...
  3. LINGWAMBA

    UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

    Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11. Katika ripoti yao ya...
  4. Heparin

    UZUSHI Kim Jong Un awashauri Waafrika waanze kutafuta Dini zao ili waendelee

    Wakuu, Nimekutana na taarifa imepostiwa na Times FM ikiwa na maneno yanayodaiwa kutamkwa na Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim kuwa anashangaa jinsi wazungu walivyofaulu kuwaaminisha Waafrika kwamba mitala ni dhambi lakini LGBTQ+ ni haki ya binadamu. Waafrika wanapaswa kujifunza jinsi ya...
  5. Suley2019

    Korea Kaskazini yawataka raia wake wafuge mbwa kwa ajili ya nyama

    Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake wametakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake. Tangazo la kupiga marufuku ufugaji wa mbwa kama wanyama pendwa wa kuzurura nao mitaani, lilitolewa kwenye...
  6. B

    Korea ya Kaskazini Yafunga Balozi Zake za Nje Katika Nchi Kadhaa

    01 November 2023 Seoul, South Korea Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda. Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
  7. Mhaya

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House. Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani. Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
  8. george aloyce

    Fahamu historia ya Kim Jong UN Korea Kaskazini na maajabu yake

    STAAJABIKA NA KIM JONG-UN (ALMAARUFU KWA JINA LA KIDUKU) RAIS WA KOREA KASKAZINI. Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim jog-il (raisi wa pili wa Korea Kaskazini). Kwa sasa ndiye kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake Dec 19, 2011. Kim...
  9. Suley2019

    Marekani yazishtukia Urusi na Korea Kaskazini, yadai zina mazungumzo ya siri

    Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine. Mtandao wa BBC umeripoti kuwa msemaji wa usalama wa taifa hilo, John Kirby, amesema kuwa pamoja na vifaa vya kijeshi, Moscow...
  10. MK254

    Wadukuzi wa Korea Kaskazini wadukua kampuni ya silaha ya Urusi

    Ni kampuni kubwa ambayo hutengeneza mizinga ikiwemo ile ya hypersonic, wamedukuliwa kizembe sana tena kwa miezi mitano bila kushtukia.... North Korean leader Kim Jong Un and Russia's Defense Minister Sergei Shoigu visit an exhibition of armed equipment on the occasion of the 70th anniversary...
  11. D

    Mambo 8 ya kushangaza kuhusu Korea Kaskazini

    (1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa mwaka 1912. (2) Korea Kaskazini ina mfumo wake (operating system) kwenye upande wa computers zao...
  12. HERY HERNHO

    Korea Kaskazini yaadhimisha miaka 111 ya kuzaliwa kwa mwasisi wake

    Leo Jumamosi inatimia miaka 111 tangu kuzaliwa kwa mwasisi wa Korea Kaskazini, Kim Il Sung. Jana Ijumaa usiku, runinga ya serikali ya nchi hiyo ilionesha video ya bango lenye maneno “kiongozi wa milele” likipandishwa juu jijini Pyongyang. Wanawake waliovalia nguo za kitamaduni walionekana...
  13. HERY HERNHO

    Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu na kuzua wasiwasi wa kiusalama

    Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda. Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson amesema rais Joe Biden na washauri wake kuhusu masuala ya usalama wanathathmini hatua hiyo ya Korea...
  14. HERY HERNHO

    Korea Kaskazini yajaribu mfumo wa droni za kimkakati za chini ya maji

    Korea Kaskazini imesema wiki hii imefanya jaribio lingine la droni ya mashambulizi ya chini ya maji yenye uwezo wa nyuklia. Tahariri ya leo Jumamosi ya gazeti la chama tawala cha Wafanyakazi imesema taasisi ya taifa ya utafiti wa sayansi ya ulinzi ilifanya jaribio hilo kwa siku nne hadi jana...
  15. MK254

    Baada ya kunyimwa silaha na China, Urusi sasa yaendelea kufuata Korea Kaskazini

    Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo. "We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security spokesman John Kirby. He said the man, identified as Ashot Mkrtychev, 56, of Bratislava, was working...
  16. HERY HERNHO

    Korea Kaskazini yafichua ushahidi wa kwanza wa silaha za kinyuklia

    Korea Kaskazini imezindua vichwa vidogo vya nyuklia ambavyo imesema vinaweza kuwekwa kwenye makombora ya masafa mafupi. Korea Kaskazini kwa muda mrefu imekuwa ikidai kuwa na silaha za nyuklia zenye uwezo wa kulenga shabaha nchini. i Korea Kusini. Lakini picha ilizochapisha katika gazeti lake...
  17. HERY HERNHO

    Korea Kaskazini yafanya jaribio la ndege isiyokuwa na rubani

    Korea Kaskazini imesema imefanya jaribio la ndege isiyoendeshwa na rubani yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia na kushambulia ikiwa chini ya maji. Shirika la habari la nchi hiyo, KCNA, limeripoti hayo hii leo, Ijumaa, wakati kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, akitowa onyo kwamba luteka...
  18. HERY HERNHO

    Japan: Korea Kaskazini imerusha kinachoonekana kuwa ni kombora

    Wizara ya Ulinzi ya Japani imesema Korea Kaskazini imerusha kile kinachoonekana kuwa ni kombora. Kikosi cha Ulinzi wa Pwani cha Japani kimeinukuu Wizara wa Ulinzi wa Japani ikisema kwamba kifaa hicho ni dhahiri kimetua. Na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Korea Kusini ametangaza mnamo saa 5:09 leo...
  19. HERY HERNHO

    Korea Kaskazini imefanya majaribio ya makombora

    Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimesema urushaji huo wa makombora ambao uliothibitishwa na jeshi la Korea Kusini, ulikusudiwa kuthibitishwa kutegemewa kwa makombora hayo na uwezo wa kujibu kwa haraka kitengo kinachoongoza silaha hizo. Shirika la habari la Pyongyang limeripoti kwamba...
  20. MK254

    Kumbe Urusi walipokea msaada wa silaha kutoka Korea Kaskazini na bado wakashindwa!

    Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu. WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
Back
Top Bottom