dua

  1. Stephano Mgendanyi

    Kihenzile afuturisha na kufanya Dua ya kumuombea Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile leo April 06,2024 ameungana na Viongozi wa Dini , Serikali pamoja na Wananchi kupata Iftar ya pamoja iliyoambatana na dua ya kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuleta maendeleo katika...
  2. Ojuolegbha

    Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu

    Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili. 📅 7 Aprili, 2024. 📍 Ikulu Zanzibar.
  3. Maleven

    Dua ya kuku haimpati mwewe ila naombea mabaya Mamelodi

    Eeh Mungu ikikupendeza, Mamelodi awe wamwisho, awe namba nne. Afungwe mechi zote. Amen
  4. Stephano Mgendanyi

    Wana Ludewa Washiriki Dua ya Kumuombea Rais Samia, DC Aandaa Futrai ya Pamoja

    WANA LUDEWA WASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA,DC AANDAA FUTARI YA PAMOJA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva,ameungana na wananchi wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe katika Dua Maalumu ya Kumuombea Kheri na Baraka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Wabongo ni Watu wa kukuombea Mabaya. Dua zao mbaya ndio mafanikio yako.

    WABONGO NI WATU WA KUKUOMBEA MABAYA. DUA ZAO MBAYA NDIO MAFANIKIO YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kama huombewi mabaya jua bado unasafari ndefu ya kufanikiwa. Yaani bado haujakutana na Bless za Mungu. Baraka za Mungu zinaendana na Lawama, chuki, hasidi, wivu mbaya kwa wanaokutazama...
  6. THE FIRST BORN

    Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  7. SAYVILLE

    Yanga elekezeni dua zenu kwenye mechi za Medeama

    Wengi mmejikuta mnaangalia hatma ya Yanga kwa kuangalia tu mechi mbili za Yanga dhidi ya CRB na ile ya mwisho dhidi ya Al Ahly. Hakuna ambaye amewaza ni jinsi gani Medeama anaweza kuwa msaada mkubwa kwa Yanga. Ukweli ni kuwa Yanga ni ngumu sana kuvuka kwa kucheza mechi zake pekee maana kama...
  8. Uzalendo wa Kitanzania

    Mufti afungua rasmi dua kubwa ya kimataifa

    Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia. Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...
  9. Execute

    Scars haaamini kwenye uwepo wa Mungu lakini anaomba dua na kufanya maombi

    Huyu jamaa ni mtu wa dua na maombi lakini anasema hakuna Mungu. Ninaamini alipitia changamoto za kimaisha hadi akamchukia Mungu lakini deep down anafahamu uwepo wake. Scars
  10. Jaji Mfawidhi

    Viongozi wa Dini wasiamrishe waumini kuombea Wanasiasa. Ifahamike wanasiasa hawahitaji Dua

    Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls. Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
  11. Peter Dafi

    Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
  12. MamaSamia2025

    Kwa dhati kabisa tuwakumbuke wafuatao kwenye sala na dua zetu

    Tuwaombee; 1. Watu wote wanaopambana na magonjwa mbalimbali au majeraha ya ajali. Mungu awape nafuu na warudi kwenye hali zao kawaida. 2. Watu wote wanaohudumia wagonjwa. Wasikate tamaa na waweze kumudu gharama za matibabu ya wapendwa wao. 3. Watu wote wanaopambana na madeni. Mungu awatie...
  13. SONDR

    Niipi nafasi ya Dua na maombezi katika uponyaji wa maradhi ?

    Wanajamvi kuna hili swala la watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya namaanisha waogonjwa kupelekwa kusomewa Dua au kwenye maombi ili kutatua changamoto zao za kiafya. Swali ninalojiuliza moja kama kweli Dua na Maombezi vinaponya Maradhi kwanini wasoma Dua na waombeaji hawendi kwenye vituo...
  14. G

    Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

    Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM. Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe...
  15. FaizaFoxy

    Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

    Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua. Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC...
  16. marehem x

    MTU anaaweza akapigwa juju mambo yake yakasimama? Tiba kuu pamoja(kisuna) na Dua kwa mungu. Naomba msada wenu wa kitaalam

    Jamani hii dunia Ina mengi. Hujafa hujaumbika, ukiwa juu Leo kesho unaweza kushuka chini. Unaweza ukawa na cheo Leo,kesho ukamaamuma(backbencher) , uwezo sio jambo la univunia ni kushukuru na kuwa moderate. Nirejee kwangu, Sina kipato kikuuubwa Sana. Na Wala sikiwa na kipato kidichi, ni...
  17. MamaSamia2025

    Kwenye maombi na dua zako tafadhali yakumbuke makundi yafuatayo

    Wakuu najua sisi wote tunapitia changamoto mbalimbali ila tunapofanya maombi na sala zetu naomba tusisahau kuyaombea makundi yafuatayo; 1. Wanawake wote waliobakiza krismasi chache za kusherehekea kabla ya kutimiza umri wa miaka 40 huku wakiwa hawaoni mwelekeo wowote wa kupata mume ambaye...
  18. Nsanzagee

    Raisi wetu Samia Suluhu, tumwombee dua gani Watanzania ili aachane na Viongozi wasiofaa?

    Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote. Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu...
Back
Top Bottom