comment

No comment is a phrase used as a response to journalistic inquiries which the respondent does not wish to answer. Public figures may decline to comment on issues they are questioned or have nothing to say about the issue at the time.
No comment indicates that the speaker does not choose to say anything on the subject, and it is automatically invalidated if the speaker then comments or answers questions. It is not a request for the material to be considered off the record or otherwise kept confidential. If the speaker wishes to talk about the subject, but does not wish to be named as a source, he must obtain the journalist's explicit agreement in advance that the response is not to be used for attribution.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

    1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
  2. Tafakari_nami

    Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume

    Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume. Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi sana wakishinikiza u saw a kati ya mwanaume na mwanamke. Dunia ya sasa ina wasomi wengine lakini vitu...
  3. Mhaya

    Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

    Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako; "Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣" Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
  4. Kijana LOGICS

    Kwanini watanzania wana tabia ya kukomenti kwa maneno ya ovyo kwenye mitandao ya kijamii?

    Watanzania wengi wana kaushamba ka kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii. Sehemu Pekee wanacomment kwa adabu ni post za Vifo vya ajali hususan ajali za barabaran Lakini post nyingine zote wanatoa maneno ya chuki na roho mbaya Wenzetu ulaya wanacomment kwa adabu hâta kwa wale wacheza picha za...
  5. FRANCIS DA DON

    Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

    Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
  6. Nyendo

    Mjadala wa DP World unaendelea sasa kati ya Msemaji wa Serikali na wadau huko Club House comment zote zinapinga mkataba huo

    Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
  7. Nyuki Mdogo

    Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

    kwa kweli mi huwa najihoji mara 2 tatu why nipewe 👎 Kuna member kaibuka hapa yeye kila post abagawa Dislike tu sijui roho yake imekaaje kaaje humo ndani😅😅😅 Karibuni kwa Hoja na Love za kutosha mwenzenu nifurahi😍
  8. Slowly

    Comment ziwe fupi fupi

    Na mimi pia nasisitiza comment ziwe fupi fupi
  9. Mshana Jr

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza; Mvuvi Nigeria atafuna samaki mwenye thamani ya mabilioni ya shilingi bila kujua

    Mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua samaki aina ya Blue Marlin mwenye uzito wa 87 kgs na kumchinja kisha kugawana nyama na wanakijiji wenzie. Baadae kampuni ya Pacific seafood ya nchini Marekani iliposikia habari za kuvuliwa kwa samaki huyo adimu...
  10. yousaw

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Habari wakuu? Nimerudi tene kijana wenu niliechoshwa na sarakasi za wenye nyumba na wapangaji wenzangu, By the way naomba kujuzwa kati ya hizo RAMANI 2 nilizo'attach hapa ni ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia, ama siziwezi zote? Thanks 🙏
  11. Kiranja Mkuu

    Ni comment, no caption

  12. PAZIA 3

    SoC02 Kipi kipewe kipaumbele kati ya Elimu-Taaluma na Elimu- Ufundi hapa Tanzania?

    UTANGULIZI Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu isiyokuwa rasmi ( hutolewa nje ya darasa ( pasipo kufuata miongozo maalumu) Hapa Tanzania, elimu...
  13. 44mg44

    Pendekeza jina la unayedhani ni mrembo kuliko wote hapa, mshindi baada ya comments 20

    Wadau mi nimeona ni jambo zuri warembo wetu tuwashndanshe, il tujue nan ni miss JamiiForums. Pga kura kwa mtu mmoja tu, kura yako itaharbka kama utapgia wawil au zaid, karbun wajomba.
  14. Unique Flower

    Kuna comment moja iliyonisikitisha sana

    Habari za Leo, I hope mko powa. Jana nilikuwa nasoma comment kwenye uzi fulani mtu mmoja ameandika hivi hata dada yake wakuzaliwa analala naye yaani anafanya mapenzi naye. Hii ilinisikitisha sana. Sijakukrem ID yako ila imeniuma nimeona niseme dada yako awe mdogo au mkubwa. Huyo ni mama yako...
  15. Candela

    Comment Jina lako la utani na maana yake

    Naanza na langu, Wananiitaga Tembo maana nna mkonga. wewe je.
  16. OllaChuga Oc

    Kuhusu kufuta Comment

    Wakuu khabari zenu wakuu. Mko salama? Naomba kujua endapo nahitaji kufuta comment(s) hapa JF. Mfano nimemuuzi mtu kwenye comment na hajapenda kile nilichoandika je nikifuta ile comment, itaondoka moja kwa moja kwenye server za jf? Na je mtu mwingine akiingia JF ataweza kuisoma ile comment...
  17. battawi

    Nyerere akiwa na John Rupia na Suleiman Takadiri, picha ya enzi za kupigania uhuru

    Namuona Mwl akiwa mtu wa kawaida kabisa Huku Shk Suleima Takadiri na weziwe (SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955) wakionesha kuwa na lengo moja tuu. Kuikomboa Tanganyika. Lakini Huku nyuma kuna mabodi Gurd wa kijadi, Wanachekesha kidogo. mtu kabeba Shoka begani , Mkuki...
  18. Course Coordinator

    Siwaoni wana jukwaa hawa tokea mwaka huu uanze wa 2021, haikuwa kawaida yao, je wako wapi?.

    Bila shaka hamjambo. Kabla tumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kutupatia uhai na pumzi yake bado tungalipo. Bado dunia inahangaika na covid-19 ,Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ,japo sisi tunapambana na ugonjwa wa kupumua,jana nilivyomuona Dr.Mpango ndo nikajua mhhh huo ugonjwa ni shida...chukua...
  19. Mag3

    The US Supreme court Rejects Pro-Trump Lawmaker’s Bid to Overturn the Pa. Election and Doesn’t Bother to Comment

    The Supreme Court unceremoniously rejected Rep. Mike Kelly’s (R-Pa.) bid to overturn federal election results in Pennsylvania on Tuesday, a request that would have blocked his own victory on the altar of delaying outgoing President Donald Trump’s defeat. “The application for injunctive relief...
  20. T

    Account za SUA mbona hazina comment

    Ndugu, mbona kwenye account za SUA hawajaweka comment kama mwombaji amepata au la?
Back
Top Bottom