Search results

  1. Erythrocyte

    Hii salute ya Lisuu imenifikirisha!

    Mamluki mtatunga kila uchafu
  2. Erythrocyte

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Sijui kama unanielewa, namaanisha hivi, huyu bila shaka kilichomng'oa kazini ni uhai wa Lissu, lakini waliomuondoa usitegemee waseme hivyo, watatafuta kisingizio chochote. Ikiwa waliojitokeza kumchangia damu Lissu na waliojitokeza kumuombea walishughulikiwa waziwazi hadharani unashangaa nini...
  3. Erythrocyte

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Hakuna hiyo, huwezi kupatanishwa na Shetani, Dawa ni kulipa kisasi tu, na wala hakuna popote kwenye vitabu vya Mungu Palipoandikwa kupatanishwa na Shetani
  4. Erythrocyte

    Nesi aliyempokea Lissu Hospitalini anadai kuwa Antony Mtaka alimtukana 'Fala wewe' na akamuweka mahabusu siku tatu wakati ni Mgonjwa

    Siku ya mwisho kila goti litapigwa, siku si nyingi utamshauri hivi hivi Makonda
  5. Erythrocyte

    RC Chalamila kumtaja Rais wananchi wanazomea ni dalili ya nini?

    Chalamila hatosahau watu wa Mbagala
  6. Erythrocyte

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Nina ushahidi wa mzee mmoja Mnyakyusa wa Kyela aliyekufa kwa kiharusi baada ya Nyumba yake kubomolewa Kimara, tena nyumba ilikuwa mbali mno! Cha kushangaza eneo lile halikufika kabisa barabara yenyewe wala hata mitaro!
Back
Top Bottom