Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

Na vipi kama madaktari walimpa maagizo akakiuka? Uwe na fikra pana usijifungie upande mmoja.
Wakati anapata huduma JF ilikuwa live hatukuwahi kusikia haya...huyo nesi atakuwa mkorofi kwani ni jambo gumu kufukuzwa kwenye utumishi wa umma
 
Maelezo yanasema yule Daktari mtaalam wa dawa za usingizi, yeye aliachichwa kazi baada ya siku si nyingi baada ya tukio lile..

Bila shaka alipewaga maelekezo ya kumpa "usingizi feki" mgonjwa ili afe akakataa. Gharama yake ni kupoteza kazi yake..

Yule mtu (Magufuli) na mbwa wake kina Makonda, Ndugai walikuwa watu hatari sana..
anaitwa nani?halafu daktari mtaalamu wa dawa za usingizi ni mpoki ....hivi Dr mpoki ameachishwa kazi lini???
 
Kwa kifupi ile mission yao waliichonga kizembe sana. Hawakufikiria endapo hata kufa papo hapo na kama angefikishwa hospital.

Laiti wangefikiria hivyo wangekuwa washaseti watu wa kummalizia huko Hospital kwa huduma za kimchongo.

Walipofeli wakaishia kuadhibu ambao hawana hatia. UFEDHULI SANA.
sahihi yule mama hakuwepo kwenye mission ,Lisu alifikishwa kama wagonjwa wengine hivyo alisimama huyo mama kusaidia serikali na ukumbuke lisu alikuwa mbunge , ngoja tuone mwisho wa hilijambo
 
1716105235838.png
 
Kimsingi bibie alitafutiwa pakifukuziwa ,alihamishwa kwenda hospitali ya mirembe kutoka regional referral hospital

Mkurugezi wapale mirembe aka anza kumwomba mbwimbwi ,demu akachomoa akanza kuumwa miguu kosa akaomba ruhusa kwenda kutibiwa muhimbili akageuziwa kibao ntoro ,mpaka leo yuko home
Inasikitisha sana
 
Hivi hata kama huna akili, unadhani wanaweza kusema hivyo?
Nadhani any one with an inquisitive mind atauliza swali nililouliza sababu bila kuweka sababu ya kufukuzwa habari hii ina ambiguity na inaweza ikawa misrepresented..., sababu kutenda kwake mema once hakumpi leeway ya kutoka kwenye reli kesho au kumpa kinga dhidi ya kufukuzwa kama atetenda tofauti na ajira yake inavyotaka..., Kwahio narudia tena officially walisema wanamfukuza kwa kosa gani ?
 
Huna hoja
Wewe hoja yako ipo wapi? Lissu alihudumiwa na nesi peke yake bila madaktari?yani team yote ya wataalam iachwe,afukuzwe yeye peke yake?
Na alikuwa wapi kudai haki yake,aje aidai leo tena kwa kumsubili Lissu arudi nchini as if Chadema haina wanasheria wengine ambao wangeweza kumsaidia kupata haki yake?
Bandiko lako limekaa kisiasa mno na halina ushahidi wowote wa shutuma unazojaribu kumbebesha mwendazake.
 
Back
Top Bottom