Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,183
- 2,564
The opposite is the truth..Kwani nilichoandika ni Uwongo?
Wewe unaonaje?
Lissu hakupigwa Risasi?
Wewe unafikirije? Alipigwa mawe?
Lissu hana matundu ya Risasi?
Wewe unadhani ana matundu ya sindano ya risasi?
Kwani ni uwongo kwamba wahanga wanaopigwa Risasi n.k wanafanya "Exposure Therapy" ikiwa na pamoja na kwenda kwenye eneo la tukio
Ni hakika unalitumia hili neno "exposure therapy" kijinga tu kujaribu ku-manipulate akili za wajinga wachache for political purposes. Na nani kakuambia kuwa kila muhanga wa kupigwa risasi hufanya hiyo therapy? Vipi aliyekufa?
amd kama anavyofanya Lissu kuonana na nesi ama kuliangalia gari alimo rindimwa na risasi? Unabisha nini?
Si ni gari lake? Ulitaka nani aende kuliangalia na kulichukua gari? How that is related to what you call "exposure therapy?"
Ha ha. Personal opinions that are backed up with scientific evidence.
Scientific evidence my foot!
Lissu ni dhahiri anapitia kipindi kigumu, na hiyo haina maana kwamba nashrehekea, lakini ukweli unabakia pale pale. He is suffering from presumeably PTSD -na ni lazima afanyiwe therapy. That is how ataponyeka kisaikillojia.
Nakuuliza tena: Kwa akili na ufahamu wako na ukimuuliza mtu yeyote mwenye utimamu wa akili zake anaweza kukuambia Tundu Lissu ana tatizo la kisaikolojia kwa tukio lile? Huyu Tundu Lissu wa baada ya kumiminiwa risasi ana tofauti gani na Tundu Lissu yule wa kabla ya risasi?
Huyu Tundu Lissu wa sasa is far better, intelligent and fierce kuliko yule wa kabla. Ushahidi ni uwezo wake wa kujenga hoja dhidi ya wajinga kama nyie kiasi cha kushindwa kujibu na badala yake mnaanza kuokoteza terminologies za kisayansi kujaribu ku - manipulate ufahamu na akili za watu wenye akili na werevu kama sisi..
Hamuwezi. We are in new different era of knowledge & understanding..
To make it short ni kuwa, Wewe na wenzako huko CCM mliompiga huyu mtu risasi kwa kusudi la kumuua lakini mkashindwa ndio mnaumwa hiyo the so called "presumably PTSD" for the reason that, your evil mission was unaccomplished. And this surprised you hence leaving you in a mental psychological shock..
Ndiyo maana mkuu wa mission hiyo (John Pombe Magufuli) alikufa mysterious death. Mwingine (Job Ndugai) akapoteza uspika wake kipumbavu tu. Na wengine kama nduguyo Paul Makonda na wewe mko kwenye psychological trauma kwa sababu ya tukio hilo la kishenzi na kinyama kushindikana..