Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

Mbowe ndiye aliratibu mauaji ya lisu
Ndio maana hawaonani macho kwa macho.

Lissu anajua hilo na ndio maana anafanya "Exposure Therapy" Halafu hawa wanapotopsha-Mislead kwamba alienda kuonana na nesi kwa sababu alifukuzwa kazi.

Psychologically, Lissu ni mpaka amalize therapy ndio aingie kuwania Uenyekiti wa CHADEMA.
 
Hiki chama na hii Gavoo ni shida sana nawaambia.

Siku zenu zinahesabika mtafutushwa na hamtakua na wakuwatetea maana hata hao polisi wanao walinda mmeanza kuwakata kwa vikotooo.
Screenshot_2024-02-20-17-45-58-1.png
 
Aliyesimamia zoezi la kuondoa cctv camera ni Kalemani na ndiye alitoa gari lilotumiwa na bashite na wauaji wenzake gari lilikuwa la Tanesco na walipofika Morogoro wakalitia kiberiti kufuta ushahidi wakaondoka.na gari lingene kurudi Dar es Salaam wakiamini kuwa wameshamuua Lissu. Kalemani ipo siku ata face huu muziki ndiyo maana siku hizi anaongea peke yake kama chizi fresh fulani hivi.
Lile lilikuwa tukio kubwa na baya sanaa kwa siasa zetu nchini Tanzania, hatukuwa vile hulo nyuma sisi kama Watanzania........lakini yote ya yoteeeeee yashapitaaaaaaaa
 
Kama mpaka leo bado yupo kwenye kujiaminisha kila aliekutana nae kwenye matibabu alikuwa na maagizo ya kumuangamiza jamaa anashida kubwa.

Chuki za hali ya juu kwa hakina Mdee and Co kisa walipokea offer ya ubunge (yaani watu wafe njaa kisa Lissu).

Anawazia plate number za serikali KUB sijui Chief Whip wa upinzani wakati yeye sio mmbunge tena.

Unaangaika na marehemu, hiyo ni serious psychological issue, huko CDM wasipoangalia huyu mtu atawapotezea kura huko majimboni.

Jukumu kuu la CDM kwa sasa ni kushinda viti vya uchaguzi na hiyo shughuli inataka kupambana na serikali iliyopo sio marehemu.

Muda wa kumtafutia Lissu PTSD therapy, yaani mission gani ya kuuwa ya serikali inayohusisha watu wengi ivyo. Nurse atumbuliwe kwa uzembe mwingine umuingize Magufuli.

Kama watu wengi ivyo walikuwa involved sasa ingekuwa siri gani.

Get Lissu medical help.
 
Bila shaka mhusika mkuu ni Dr, sidhani kama nurse mwenyewe anaweza kumpokea na kuhandle serious case kama hiyo bila Daktari.

Unaposema nurse aliyeokoa maisha ya Lissu maana yake ni kama Lissu aliokotwa Tu amepigwa risasi na hakukuwa na usaidizi mwingine zaidi ya huyo nurse.

Ni fikra na mtazamo tofauti tu, isichukuliwe vinginevyo.
ndugu haya masuala kwangu mm naangalia km siyaoni japo ni chuki zinaandaliwa njia hakuna mtu km LISSU na case yake ile apokelew na kuhudumiwa na nurse wakat km huo nurse hata sindano haruhusiw hata kumchoma......
 

Attachments

  • Screenshot_20240518-235335.png
    Screenshot_20240518-235335.png
    162.5 KB · Views: 2
chadema hiki mnachokifanya sio siasa wallah..

chuki mnazopandikiza kwa raia juu ya serikali makini kipindi hiki cha mama yetu kipenzi cha wanyomge hakika zina mwisho
Aliye anzisha chukini Nani Kati ya Lissu na yule mshamba?
Kuokoa maisha ya mtu Ni dhambi? Ilhali MTU aliapa kwamba atajitahidi kuokoa maisha?
Hivi kiapo Cha kushika kitabu kitukufu unakijua?
Auumezoea kuona wabunge wa CCM wa kiapa kwa kejeli?
 
Mwehu tu wewe kila mwenye akili timamu anakupuuza
Mbona wewe unanishobokea? Una akili timamu?👌🏾😂😂😂😂😂😂

... wenye akili wanasoma, wanaelewa, wana gugu kuona kama nimesema ukweli, wanajidhihirisha. Ni Ukweli. Lissu anafanya "Exposure Therapy" bisha hilo zaidi ya hapo unafanya kile kinachoitwa Ad Hominem.
 
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.

Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati ya Wawili hao, imejulikana kwamba kumbe Nesi yule baada ya kuokoa Uhai wa Lissu alitimuliwa kazi.

Haijajulikana sababu hasa za kutimuliwa kwake, Bali ameomba msaada wa kisheria kwa Tundu Lissu kushughulikia kutimuliwa kazi.

View attachment 2993309

Mhanga mwingine wa Uhai wa Lissu ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Mpoki Ulisubisya, Huyu alitimuliwa haraka sana baada ya kusaidia Lissu kupona, Inadaiwa ndiye alikuwa mtaalamu wa dawa za usingizi pale Lissu alipofanyiwa Upasuaji
Mpoki alipelekwa ubalozi na hakutuliwa
 
Back
Top Bottom