Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 497
- 738
Ila yule mbilikimo ndungai naye ipo siku yakeDuuuhhh.
Mtu anapewa ruhusa ya matibabu halafu anakuja kuambiwa ni mtoro.
Kuna wenye roho mbaya, halafu kuna hawa wenzetu wa Tz...
Ila yule mbilikimo ndungai naye ipo siku yakeDuuuhhh.
Mtu anapewa ruhusa ya matibabu halafu anakuja kuambiwa ni mtoro.
Kuna wenye roho mbaya, halafu kuna hawa wenzetu wa Tz...
Ndio maana hawaonani macho kwa macho.Mbowe ndiye aliratibu mauaji ya lisu
Kama kweli??? Unadhani hiyo ni stori ya kutengenezwa au mama huyo anasema uongo?Kama ni kweli walimfukuza basi serikali ya huyu mama imeoza na kunuka uvundo kabisa.
Hiki chama na hii Gavoo ni shida sana nawaambia.
Siku zenu zinahesabika mtafutushwa na hamtakua na wakuwatetea maana hata hao polisi wanao walinda mmeanza kuwakata kwa vikotooo.
Lile lilikuwa tukio kubwa na baya sanaa kwa siasa zetu nchini Tanzania, hatukuwa vile hulo nyuma sisi kama Watanzania........lakini yote ya yoteeeeee yashapitaaaaaaaaAliyesimamia zoezi la kuondoa cctv camera ni Kalemani na ndiye alitoa gari lilotumiwa na bashite na wauaji wenzake gari lilikuwa la Tanesco na walipofika Morogoro wakalitia kiberiti kufuta ushahidi wakaondoka.na gari lingene kurudi Dar es Salaam wakiamini kuwa wameshamuua Lissu. Kalemani ipo siku ata face huu muziki ndiyo maana siku hizi anaongea peke yake kama chizi fresh fulani hivi.
Mbona huyo polisi kaficha sura yake?? Kulikoni......kama anatetea haki yake haina haja ya kujificha
Utalegezwa weweHujakataa kwamba nilichiandika ni Uwongo. Itoshe hakuna kitu kama maandiko yaliyochanganywa na haja kubwa. Hakuna, tafuta popote pale.
Utalegea tu.
Sanaaaa!Watu wanaroho mbaya jaman
usiwe serious na mambo ya siasa utaumiza kichwa bureKama Ni Kweli, Tanzania Tunatia Kinyaa Sana Sana Machoni Pa Mataifa
Shida sio kila aliyeko humu ni Great Thinker.Kama kuna ka ukweli, basi madaktari wote waliompa huduma ya kwanza wangepaswa kufukuzwa. Ni kutumia tu "mantiki ".
Nenda Chato ukamsute we changudoa.Hata wapambe wake walijua hivyo
ndugu haya masuala kwangu mm naangalia km siyaoni japo ni chuki zinaandaliwa njia hakuna mtu km LISSU na case yake ile apokelew na kuhudumiwa na nurse wakat km huo nurse hata sindano haruhusiw hata kumchoma......Bila shaka mhusika mkuu ni Dr, sidhani kama nurse mwenyewe anaweza kumpokea na kuhandle serious case kama hiyo bila Daktari.
Unaposema nurse aliyeokoa maisha ya Lissu maana yake ni kama Lissu aliokotwa Tu amepigwa risasi na hakukuwa na usaidizi mwingine zaidi ya huyo nurse.
Ni fikra na mtazamo tofauti tu, isichukuliwe vinginevyo.
Aliye anzisha chukini Nani Kati ya Lissu na yule mshamba?chadema hiki mnachokifanya sio siasa wallah..
chuki mnazopandikiza kwa raia juu ya serikali makini kipindi hiki cha mama yetu kipenzi cha wanyomge hakika zina mwisho
😆😆😆😆Ila yule mbilikimo ndungai naye ipo siku yake
Mbona wewe unanishobokea? Una akili timamu?👌🏾😂😂😂😂😂😂Mwehu tu wewe kila mwenye akili timamu anakupuuza
Sisi kazi yetu ni kukuletea picha na habariMbona huyo polisi kaficha sura yake?? Kulikoni......kama anatetea haki yake haina haja ya kujificha
Mpoki alipelekwa ubalozi na hakutuliwaHii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati ya Wawili hao, imejulikana kwamba kumbe Nesi yule baada ya kuokoa Uhai wa Lissu alitimuliwa kazi.
Haijajulikana sababu hasa za kutimuliwa kwake, Bali ameomba msaada wa kisheria kwa Tundu Lissu kushughulikia kutimuliwa kazi.
View attachment 2993309
Mhanga mwingine wa Uhai wa Lissu ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Mpoki Ulisubisya, Huyu alitimuliwa haraka sana baada ya kusaidia Lissu kupona, Inadaiwa ndiye alikuwa mtaalamu wa dawa za usingizi pale Lissu alipofanyiwa Upasuaji
leo yuko wapi?Mpoki alipelekwa ubalozi na hakutuliwa
Umeusoma lakini. Na unajua nipo 100% Hayo mengine ya kuwaita mandezi, wehu, wasio na akili n.k n.k Hayana maana yeyote yale zaidi ya matusi ya rejareja. Be more creative with your insults. They are boring.Huu upuuzi waeleze ndezi wenzako huko CCM