"Niwakati tulipokuwa mafunzoni Monduli Machi, 1976 hadi Januari, 1977 ndipo nilipomfahamu vizuri Yusufu Rajabu Makamba na tukawa marafiki tangu wakati huo mpaka sasa. Nikatokea kuutambua vizuri uwezo wake wa uongozi. Nilivibaini vipaji vyake adimu vya kuhamasisha, kuunganisha watu, kujieleza na...
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio...
Jf Today's Birthdays jumla ya member 33 ambao wame andika tarehe ya Leo 11/09
Happy birthday am 4 real
Kwa niaba ya wote tuliozaliwa September eleven......
Niseme,
Happy birthday to you All 🎁 🎉🎉
Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.
Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso...
✍️✍️✍️ Mnao ni uliza utajiri na pesa nime pataje 👉 👉 Niulizeni na ule Umaskini Nili Utoaga wapi 🙏🙏🙏 Fisi hafi Kwa shida
Kichwa cha habari hapo juu sio maneno yangu Mimi ni caption ya what's up status ya Moja ya wapwa wangu.
Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua...
Romania inaomba msamaha na kumkumbuka balozi aliyelinganisha tumbili na wanadiplomasia wa Kiafrika
CNN —
Romania inamrejesha nyumbani balozi wake nchini Kenya Bucharest na imeomba msamaha baada ya mjumbe wake mjini Nairobi kulinganisha tumbili na wanadiplomasia wa Kiafrika wakati wa mkutano...
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.
1. #TheBeatles
2. #Madonna
3. #EltonJohn
4. #ElvisPresley
5. #MariahCarey
6. #StevieWonder
7. #JanetJackson
8...
Usain bolt sio jina geni masikioni mwa wapenda michezo wengi hapa ulimwengu,
Alizaliwa mwaka 1986 Jamaica ni mwanariadha Bora wa muda wote kwenye mbio fupi 100m na 200m (G.O.A.T)
Binafsi niliwai kushinda Riadha kwenye UMITASHUMTA vijana wa hivi karibuni hawawezi kujua nini maana ya...
Leo tu share story mbali mbali za maji hufuata mkondo..........
Kuna rafiki yangu mmoja alikua anachukizwa sana na kitendo Cha baba yake kupiga ulabu....
Tulipo kua tunakua alituapia kua yeye hato kuja kupiga ulabu duu!! Alipo pata kazi akaanza kupiga ulabu mpk kuitwa Chapombe.....MAJI HUFUATA...
Kisa Cha Michael Essien na John Terry wakikipiga Chelsea
John Terry alikua akimshangaa mchezaji mwenzake Michael Essien...
John Terry alikua anamshangaa Michael Essien kwanini akipata pesa inaisha haraka haraka...... Pesa ya Michael Essien ilikua Ina isha haraka kwasababu dependency ratio...
Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19.
Ni nini maoni yako.
Karibuni.
WACHUJA NAFAKA Tusisubiri Wapotee wote.....ndiyo tuseme waliwahi kutoa Moja ya Albamu kali, Narudia Tena Albam kali kuwahi kutokea Tanzania.
Fatilia Uzi Huu utajua kwanini nakuambia Ilikuwa moja ya Albam Kali Tanzania.
WACHUJA NAFAKA lilikuwa kundi la Muziki wa RAP lililoundwa na wasanii Juma...
Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe.
Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia.
Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya...
At the pub, must show you’re VIP
Kwenye baa na sehemu zingine za starehe Kuna ulazima wowote wa kujionyesha kuwa wewe ni VIP.....
pedjeshee...papaa mukulu....Mupe Muruke... Mupe Muruke....
Je, Kuna tija yoyote mtu huipata.
karibu tujadili.
Why do you admire someone?(Kwa nini unavutiwa na mtu?)
Hapa kuna machache:
1. Akili
Huwa inafurahisha kuwa karibu na watu wanaojua mambo kunizidi - ni nafasi ya Mimi kujifunza Vitu kutoka Kwao.
2. Ucheshi
Huwa na vutiwa na watu wacheshi. Kuna watu wengi wana ucheshi mzuri, lakini watu wengine...
Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba.
M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21
Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa.
Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo.
Inasemekana Sir Alex Ferguson...
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...
Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....
Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....
Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...
Hii muvi inakukumbusha nini?
ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE U KNOW: ..Hii picha nilipiga loongtime ago in the 90s nikiwa Seamen au Baharia (Ass. Engineer) katika meli ya "MV. LUXEMBOURG" ya kampuni ya Celestie Belgique Maritime (CMB) Shirika la Meli la Taifa la Belgium lipo mjini Antwerpen ambako niliishi kwa Miaka 5 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.