Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

YAANI
sisi wana sayansi ndo tuumie tu
Halafu usidhani ni.jumlisha na toa

Peke yake kuna mambo mengi ndo.maana.hawajaajili daras la saba
Mkuu hakuna mambo mengi ni ujanjaujanja tu ili watu waibe.Hizi kazi ni za std seven waliojiendeleza kwa zile course zao za NABE na Lower and Higher Standard GA, sijui kama unazikumbuka au kuzifahamu
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..
UDSM nacho ni chuo
 
Pole mkuu kama nimekugusa, lakini kazi za Nssf ni ukarani yeyote mwenye basic education aweza fanya.Vidume wako kwenye mateknolojia na magesi hao ndio tuwajadili tusihangaike na hesabu simple za asilimia kumi ya mshahara.Hesabu za wahazini kule church.
Mkuu huko unakosema hakuna MTU mwenye cheti feki atang'aza sharubu,
Hiyo ni level ya juu sana inayohusisha matumizi makubwa sana ya ubongo,
Na kama ikitokea kuna mtu hana vyeti na anafanikiwa kufanya kazi huko basi inafaa tumuite geneous..
 
Nimekusoma mkuu, sector ya afya je hatuwezi kuwapata fake Drs and nurses
 
WATAONDOLEWA hata watu wenye uwezo mkubwa wa kazi.Kazi zingine hufanikiwa kutokana na utashi pekee wa mtu.Hao wangepewa adhabu ya kushushwa daraja huku ujuzi wao ukiendelea kutumika kwa faida ya nchi.Pia wakasome kufidia mapungufu ya elimu zao.
 
Kwanza walipe kwa udanganyifu, kudanganya/uongo ni kosa kubwa. Wafukuzwe kazi hakuna shortcut hapo.
 
WATAONDOLEWA hata watu wenye uwezo mkubwa wa kazi.Kazi zingine hufanikiwa kutokana na utashi pekee wa mtu.Hao wangepewa adhabu ya kushushwa daraja huku ujuzi wao ukiendelea kutumika kwa faida ya nchi.Pia wakasome kufidia mapungufu ya elimu zao.
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..
Shortcut is much more better, but it will come a time when it will cut you 'short'
 
Sasa fatilia majina ya waliopotelewa hivyo vyeti ndio ujue nchi hii imeharibiwa na kina nani?

Umeongea sawa sawa, Jana katika uzi huu huu ama mwengine nimeona kuna watu wamerport magazetini wamepotelewa na vyeti vyao! majina yote si haya yanayoshutumiwa kuajiriwa NSSF, kina Christopher, Christant, Chirtabell , Chritiano na kadhalika.

Mfurahi sana tu lakini watakaumia ni wengi maana huko serikalini wamejaa tele!

Kila la kheri, kama kuna mtu amefoji cheti na atolewe kwa haki, sio vifichwe na waonekana wamefoji au hawana vyeti.

Kuna mameneja rasilimali wati wa baadhi ya Tassisi wana TABIA YA KUFICHA VYETI VYA WATU! kwa ahili halitakubalika kamwe!
 
WATAONDOLEWA hata watu wenye uwezo mkubwa wa kazi.Kazi zingine hufanikiwa kutokana na utashi pekee wa mtu.Hao wangepewa adhabu ya kushushwa daraja huku ujuzi wao ukiendelea kutumika kwa faida ya nchi.Pia wakasome kufidia mapungufu ya elimu zao.
 
Umeongea sawa sawa, Jana katika uzi huu huu ama mwengine nimeona kuna watu wamerport magazetini wamepotelewa na vyeti vyao! majina yote si haya yanayoshutumiwa kuajiriwa NSSF, kina Christopher, Christant, Chirtabell , Chritiano na kadhalika.

Mfurahi sana tu lakini watakaumia ni wengi maana huko serikalini wamejaa tele!

Kila la kheri, kama kuna mtu amefoji cheti na atolewe kwa haki, sio vifichwe na waonekana wamefoji au hawana vyeti.

Kuna mameneja rasilimali wati wa baadhi ya Tassisi wana TABIA YA KUFICHA VYETI VYA WATU! kwa ahili halitakubalika kamwe!
He kwani wakati unaomba kazi uliwasilisha nakala halisi ofisini? Watu wanapeleka copy,usitafute PA kukimbilia,tulieni sindano iwaingie taratiiibu
 
WATAONDOLEWA hata watu wenye uwezo mkubwa wa kazi.Kazi zingine hufanikiwa kutokana na utashi pekee wa mtu.Hao wangepewa adhabu ya kushushwa daraja huku ujuzi wao ukiendelea kutumika kwa faida ya nchi.Pia wakasome kufidia mapungufu ya elimu zao.
yamekukuta mkuu, kama si wewe basi ndugu yako.. pole!!
kwa kweli hujui machungu ya kukaa bila kazi huku wengine wakinesa nesa kwa magamba hewa huku wakisema kwa sauti 'mkalime, kilimo kinalipa'

PUMBAVU ZAO KABISA
 
He kwani wakati unaomba kazi uliwasilisha nakala halisi ofisini? Watu wanapeleka copy,usitafute PA kukimbilia,tulieni sindano iwaingie taratiiibu

Mkuu nisome vizuri ! nasema na narudia ! kama kuna mtu amefoji cheti, imma awe wa dini yeyote hatetewi na mara moja aondolewe! ili watu waliosomea kwa kutumia pesa na akili zao wawekwe hapo !

Ila waondolewe kwa haki! na SI KWA KUFICHWA VYETI ili waonekane hawana ! nadhani umenielewa!

Udhalim wa aina yeyote hautetewi!

Niamini ! Namba wataisoma wengi! pamoja na wanaoshangilia jambo hili !
 
Hizo ni tetesi tu ila watu wametoa dukuduku zao. Tunaomba iwe kweli.
Ni tetesi zenye ukweli,dau na mates a waliajiri wasioajirika ni wengi sana,dau alipoingia alisema kuna over employment akapunguza na kubaki 800 mwaka 2003,baada ya mkwere kuchukua nchi dau akaanza kuajiri na sasa wako 1400 na 95% ya hizo ajira 600 ni watu wa dini Mona,kuna mkoa mmoja Nssf INA staff 98% waislamu na 99% ni wapya na 25% no std seven!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom