Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

HII NI HATUA NZURI, ILA ITAKUWA NZURI ZAIDI KAMA WALIOWEZESHA UOZO HUO NAO WAKAFUATIA MAANA KUTOFANYA KAZI KWA KUFUATA MAADILI YA KAZI NI SAWA NA KUWA NA VYETI FEKI. VINGINEVYO NI SAWA NA KUUA MCHWA HUKU MALIKIA ANAENDELEA KUTAMBA.

kAZI HII NJEMA NA NZURI IINGIE KWA NDANI ZAIDI YA HAPO.
Hii nimeipenda sana. Kweli hao vigogo waliowezesha vyeti feki awalambe kwani wakibaki wataendelea tu
 
kama unawaza hivyo hauwezi endelea na mjadala

kwamba kazi za bank
accounts afanye wa lasaba ww utakuwa la nne siyo bure
Waulize wahasibu mtu wa NABE stg three na mtu wa ADA au ADCA ambazo siku hizi mnaziita degree kama wana tofauti yoyote kieutendaji.Kisha rudi nikujuze zaidi kwanini kondakta wa daladala ni mhasibu bora hata kama ni teja
 
...we fanakazi weee mwisho wa siku mshahara nakulipa Mimi,..ripoti zote unareta kwangu.Hapondipo utaona hesabu si kitu.
Wewe utaishia kwenye huo ukarani wa kuwalipa mshahara vidume tena kwa kuwaingizia kwenye accounts zao zinazoendeshwa kwa mifumo iliyoandaliwa na vipanga wenzao wa IT.Pili wewe huna maamuzi yoyote bali unareport kwa Finance manager ambaye ni mtaalam wa Sayansi ya Fedha.Siku ukitumwa kupeleka report pale Hazina pitia na IFM watakupa ushauri nasaha.
 
Dau aliajiri wasio na sifa utafikiri hada PhD au nayo ni ya hapa na pale?

Kama Dau aliajiri wasio na sifa! Vipi shirika limekuwa la kuigwa na kupigiwa mifano! Kama Chiku Matesa ameajiri Vilaza vipi leo shirika hilo limekuwa likiongoza mashirika yooote yanayofanana na hilo mpaka kila mtu KULIMEZEA MATE! acheni chuki zisizo na maana! tunataka kuona shirika likiendelea kuongoza kama lilivo!
 
Kama Dau aliajiri wasio na sifa! Vipi shirika limekuwa la kuigwa na kupigiwa mifano! Kama Chiku Matesa ameajiri ****** vipi leo shirika hilo limekuwa likiongoza mashirika yooote yanayofanana na hilo mpaka kila mtu KULIMEZEA MATE! acheni chuki zisizo na maana! tunataka kuona shirika likiendelea kuongoza kama lilivo!
Mkuu wewe unaangalia majengo ambayo hata wapangaji hayana,kama ni majengo basi NHC ndo wangeongoza kwa performance,kwa mchumi ungelinganisha cash flow na madeni,hukumbuki kuna wakati walikopa mshahara benk,in short dau alikuwa na focus kati ya pua na mdomo wake,bure kabisa
 
punguza chuki ndugu yangu,ongea na nafsi yako
 
punguza chuki ndugu yangu,ongea na nafsi yako
Mkuu ni ukweli kwa usomi wake tulitegemea afanye outstanding ila kwa sababu za kipuuzi aliamua kujenga majengo yanaoishi mapanya sasa,mtu wa aina hiyo Ali focus wapi kama syo pua na mdomo, alikuwa ana invest kwa interest za nani,alikuwa anatumia elimu ipi kati ya dunia na madrasatilatul,
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..
Hivi Hawa 256 waliondoka kweli nssf baada ya uhakiki??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom