Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

Chinchila...
Waislam hatuna hofu na mambo haya ya udini kwa kuwa hatujapatapo
kumdhulumu au kumbagua mtu kwa ajili ya dini yake.

Nyerere angelikuwa hai yeye angekuwa shahidi yetu.

Kapokelewa na Waislam kalala nyumba zao na kala nao chakula sahani
moja hadi akapata ukubwa wa nchi.

Hakuna aliyembagua kwa Ukatokili wake.

Rafiki zake wapenzi na vijana rika lake walikuwa Abdulwahid na Ally
Sykes
na Dossa Aziz.

Wazee wake walikuwa Mshume Kiyate, Sheikh Suleiman Takadir na
Jumbe Tambaza kuwataja wachache.

Dada zake walikuwa Bi. Hawa biti Maftah, Tatu biti Mzee na Bi. Titi
Mohamed
kwa kuwataja wachache.

Hii ndiyo historia ya Waislam.

Sisi hatuna hofu na uchunguzi wa wanaoleta udini kwani sisi ndiyo waathirika
wakuu.
Ila mkuu mimi naona ubaguzi wa kidini upo pande zote mbili, wakristo na waisilamu wote wanabaguana tu
Wapo wakristo wanao wabagua waisilamu na hawako radhi kushirikiana nao au kuwaajiri na wapo pia waisilamu wanaowabagua wakristo hivyo hivyo, haya nimeyashuhudia mimi mwenyewe
Hta nchi zenye waisilamu na wakristo wakawa ni minority, ile minority ya wakristo huwa wanakuwa na wakati mgumu sana kutokana na kutoendana kiimani nao hivyo kubaguliwa, ila natumaini haya yataondoka kabisa siku moja
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..

Sehemu kama TANROADS sijui ukaguzi utafanyika lini huu
 
Jamani mnachosha vidole vyenu narudia tena now nchii hii inasera ya kubana bajeti pamoja na kupunguza rasilimali watu unapo jidanganya hawa wakifukuzwa mi ndio nitapata kazi unajidanganya nibora uwe na mawazo ya kujiajiri kuliko kuajiriwa utajikuta unazeeka na vyeti vyako mkononi na kama mnabisha mtaona siasa mbaya haya mambo nayajua huwasishabikiagi kabisa
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..
Mkuu hili naona linaukweli nimetembelea ofisi za NSSF Iringa leo mida ya saa 8 nilikuta milango mingi imefungwa sijui kulikuwa na kikao fikiri hata Mlinzi hakuwepo nadhani walikuwa na kikao, Kwa kweli NSSF nimekuwa siwapendi walikuwa na kiburi na dharau za ajabu hasa wale wa front desks.
 
...mwishowe,itaoneshwa jinsi Rais mstaafu Nyerere alivyokuja kuwa kiungo cha kipekee kati ya chama/kanisa na kanisa katoliki. Uhusiano huo unaelezwa kwanza kama msingi wa kuelewa jinsi gani na kwa kiasi viongozi wa kanisa walivoingilia kati maendeleo ya siasa hapa Tanzania.
Kanisa katoliki na siasa ya Tanzania.
Watu wanajadili mada ya wafanyakazi vihio we unaleta udini. Maana yake huna reading skills, maana take we pia ukaguliwe vyeti vyako.
 
Zoezi tamu sana hili ..lifanyike taasisi zote ..tena na watu huru kabisaa..kuna madogo wapo kitaa wkt watu wasio na sifa wamekalia vitengo...
 
Mchungaji.jpg

Chinchilla...
Vipi na huyu anaetoa fedha za shirika la umma kujenga kanisa.
Mimi nahifadhi jina lake na taasisi yake.

Huyu hastahili na yeye kuhojiwa vipi anatoa mamilioni ya shirika
lake kulipa kanisa lake?

Naiomba Majlis ilitazame na hili.
Huu ndiyo uadilifu.
Mkuu,unao ushahidi usio na hata tone la Shaka kuwa pesa za hilo shirika ndio anazogawa kujengea makanisa??

Ushahidi wa matumizi ya pesa za shirika(kama unavyodai)kujengea kanisa..
Tuanzie hapo..
 
Wakuu salama!...

Kwanza nianze kwa kupongeza NSSF. Wamechukua maamuzi magumu na kuanzia Jumatatu watumishi wao zaidi ya 256 wanapigwa chini kwa kukosa sifa pindi walipojiunga na shirika hilo... Hawana vyeti halisi

Hatua hii ni tafsiri kwamba watoto wa masikini waliosota kusoma UDSM na vyuo vingine sasa wanaenda kupata kazi kihalali. Watoto hawa walisota kwa muda mrefu pasipo msaada wa Godfathers..
Kumekucha..sasa ni wakati wa kuhesabiana haki. Makanjanja wakipigwa chini kila kona utaona mambo yatanza kwenda vizuri. Tulifika mahali ubaya ukaonekana ndio wema. Ufisadi ukatukuzwa na uadilifu ukadhalilishwa.
 
Mchungaji.jpg

Chinchilla...
Vipi na huyu anaetoa fedha za shirika la umma kujenga kanisa.
Mimi nahifadhi jina lake na taasisi yake.

Huyu hastahili na yeye kuhojiwa vipi anatoa mamilioni ya shirika
lake kulipa kanisa lake?

Naiomba Majlis ilitazame na hili.
Huu ndiyo uadilifu.

Shirikisha ubongo sometimes..inaelekea hujui hata shirika la uma ni kitu gani
 
Ila mkuu mimi naona ubaguzi wa kidini upo pande zote mbili, wakristo na waisilamu wote wanabaguana tu
Wapo wakristo wanao wabagua waisilamu na hawako radhi kushirikiana nao au kuwaajiri na wapo pia waisilamu wanaowabagua wakristo hivyo hivyo, haya nimeyashuhudia mimi mwenyewe
Hta nchi zenye waisilamu na wakristo wakawa ni minority, ile minority ya wakristo huwa wanakuwa na wakati mgumu sana kutokana na kutoendana kiimani nao hivyo kubaguliwa, ila natumaini haya yataondoka kabisa siku moja

Mfano ni Zanzibar, kanisa la kwanza la Katoliki limejengwa huko na wakristo wazawa wa Zanzaba bado wapo lakini kuna wakristo wangapi kwenye Cabinet?. Hata wa kuteuliwa na President tu
 
Back
Top Bottom