Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF


Mfano ni Zanzibar, kanisa la kwanza la Katoliki limejengwa huko na wakristo wazawa wa Zanzaba bado wapo lakini kuna wakristo wangapi kwenye Cabinet?. Hata wa kuteuliwa na President tu! Au huwa wanakataa??!!
 
Shirikisha ubongo sometimes..inaelekea hujui hata shirika la uma ni kitu gani
Superuser,
Hapana haja ya kunitukana ikiwa nimekosea hilo si shirika
la umma nifahamishe tu ili nijue na mimi nitakushukuru kwa
kunielimisha.



Mtoaji akikabidhi hundi ya shs: 10,000,000.00 kwa kanisa la KKKT.
 
Mkuu,unao ushahidi usio na hata tone la Shaka kuwa pesa za hilo shirika ndio anazogawa kujengea makanisa??

Ushahidi wa matumizi ya pesa za shirika(kama unavyodai)kujengea kanisa..
Tuanzie hapo..
Lukesam,
Ikiwa utahitaji mimi nikupe ushahidi wa kimahakama sitoweza labda hili
jambo lende mahakamani.

Ninaloweza kuonyesha hapa ni ushahidi wa yanayoandikwa na wahusika
wenyewe.

Hebu ingia hapa:
http://3.bp.blogspot.com/-AT_dKhCrmz4/VRknfmVj7GI/AAAAAAABVwc/d2Iqbmuf9WM/s1600/_MGS0592.JPG
 
Chinchilla,
Naona joto lako limepungua.
Alhamdulilah ndiyo uzuri wa mijadala.

Lakini unaweza kuja na ushahidi kuwa Waislam wakubwa ndani
ya mashirika ya umma na serikali wanatumia mafasi zao kuhujumu
Ukristo?

Hutoweza kwa kuwa hivyo vyote ni vigango Waislam hatuna chetu.

Waislam tuna ushahidi usio na shaka kuwa tunabaguliwa na hili
tumelieleza kwa serikali hadharani kwa miaka mingi.

Serikali ina hofu ya kuliweka hili katika agenda yake.
Inadhani kukaa kimya tatizo litajiondoa lemyewe.

Ndiyo maana nilianza kuwa kukuwekea ushahidi kutoka kwa Njozi.
Kitabu cha Njozi kimepigwa marufuku.

Ukikutwa na kitabu hicho ni kosa la jinai.
Huu ndiyo ukweli unaotukabili Waislam wa Tanzania.
 
O
 

CRDB SIO SHIRIKA LA UMMA BOSS!
 
hehheeeee mabrodu na sistduz da iwish tuwataje maana wanajulikana kwa kuunga unga asante mr prezda asante sana vijana wengi wanazeekea kitaa pasipo haki.
 
Superuser,
Hapana haja ya kunitukana ikiwa nimekosea hilo si shirika
la umma nifahamishe tu ili nijue na mimi nitakushukuru kwa
kunielimisha.



Mtoaji akikabidhi hundi ya shs: 10,000,000.00 kwa kanisa la KKKT.

CRDB ni shirika la umma? Na CRDB hawajawahi kutoa mchango kwa waislam?
 
Ingekuwa vizuri mzusha mada angetufahamisha kwa takwimu idadi ya watumishi wa NSSF nchi nzima ili tuweze kulinganisha na kupata asilimia zinazotakiwa kitakwimu.

Aidha, ibaki kama tetesi maana mzusha mada ndani ya huu mwezi amezusha mada 3, siyo mtu wa kumwamini.
 
Yaani mpaka walikatisha tamaa watu kusoma baada ya kuona wahitimu wapo mitaani
 
Mbona mimi nipo shirika flani na wanakagua vyeti sio nssf tu wadau....ukiwa safi huna hofu kukaguliwa
 
..Kwa uzoefu wangu watu wengi wanaojiita wanamahesabu/engeneers ndo masikini wa kutupwa. Badili mtizamo.
Bora hao maskini wasioiibia nchi yao kuliko wewe KARANI unayejiita mara mhasibu ooh sijui boharia mara hro badili tabia mahakama ya mafisadi imeundwa kwa ajili yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…