Zitto Kabwe ajisalimisha polisi

tatizo wanasisiasa wengi wa bongo ni mafelia na ndo maana wanaikandamiza demokrasia na wakichukulia advantenga ya utulivu wa watanzania......but one day haki iapatikana na uovu wote utafunuliwa na wata recgreat kwa kuto fuata haki na sheria
 
Uwe unasoma kwa kituo badala ya kukurupuka. Ni wapi nilipoandika naunga mkono wapinzani kunyanyaswa!????? Acha kukurupuka soma kwa kituo mimi na chama cha wahuni, mafisadi, wezi, wapokea rushwa mbali mbali.

mwehu wewe unaona sifa wapinzani kunyanyaswa ipo siku ndugu yako atafanyiwa haya sijui itakuweje acheni wapinzani waongee msiwazibe mdomo hapo ndo tunaamini ccm haikushinda kihalali ila ni ubabe tu.
 
Wewe unasema nini, hakuna cha moto wala nini, lazima serikali iwawadabishe mpaka mtakapojifunza kutii sheria

Hata Wakoloni enzi hizo walikuwa na kauli kama hizi,weka akiba ya maneno
 
Na mimi nanusa kama ww.
 
Asichokijua Magufuli ni kwamba atapambana na wapinzani na hatashinda isipokuwa atashindwa yeye kuwatumikia wananchi kwa kuwa atapoteza muda wake mwingi kujibu shutuma toka kwa hao wapinzani. Ni kheri aachane nao.
Ila namshukuru Mhishimiwa kwa kumchezesha Zitto siasa za upinzani alishajisahau.
 
Na wakati huo huo mafisadi wa Lugumi, escrow, UDA, Pride na MV Dar bado anawagwaya mafisadi hawa ila anataka kutunisha muscles kuonyesha udikteta wake dhidi ya upinzani.
Hili liwe fundisho kwa jirani zetu wa Kenya kuelekea Uchaguzi mkuu mwakani kuhusu Raila.
Kuna usemi kuwa ukitaka kunifahamu vema mwangalie rafiki yangu. Wamuangalie rafiki wa Raila kisha watamjua Raila
 
Reactions: BAK
Huu muda wanaotumia kupambana na Wapinzani wangeutumia kutatua matatizo ya msingi ya wananchi tungewaelewa sana, lakini Ego ego ego imetamalaki
 
Mfalme anajua 2020 hatakuwa na nguvu za kupiga pushap, anataka 2020 upinzani usiwepo kabisa.
 
naona zitto anatufuta kiki ya chama chake eti aonekane ngangari huku ni wapinga maendeleo (reactionaries)
 
ACT jana walidai hawajui Zitto aliko, taarifa ilitoka kwa UMMA, Leo Zitto wakati anaongea na vyombo vya habari anadai alijua polisi wanamvizia katika kongamano Lake wamkamate, wao hawakwenda, hivyo polisi, wakashindwa kujua Zitto yupo wapi.. Kwanini ACT wakati wanatoa tangazo lao la kutoenekana Zitto, wasimpigie simu Zitto.
Au kwanini Zitto akuwaambia wenzake kua yupo salama, mpaka wanatoa taarifa ya kuogfya katika jamii..

#SiasazaMatukio
 
ccm wana hofu,wananchi wana hofu,upinzani hofu,mama jennt hofu,nani atabaki salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…