mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,050
- 9,537
Hata wezi wa ESCROW hawakutafutwa hivi leo mwanasiasa ambae ni haki yake kuichambua katiba na kutoa maoni anasakwa kama mwizi! tumefika pabaya sana.Uzuri kuna wenye busara waliyaona haya kabla HATUKUSIKIA.Kukosoa bajeti ya serikali ya Magufuli ya 2016/2017.....ndilo kosa lake!!