Zitto Kabwe ajisalimisha polisi

ACT jana walidai hawajui Zitto aliko, taarifa ilitoka kwa UMMA, Leo Zitto wakati anaongea na vyombo vya habari anadai alijua polisi wanamvizia katika kongamano Lake wamkamate, wao hawakwenda, hivyo polisi, wakashindwa kujua Zitto yupo wapi.. Kwanini ACT wakati wanatoa tangazo lao la kutoenekana Zitto, wasimpigie simu Zitto.
Au kwanini Zitto akuwaambia wenzake kua yupo salama, mpaka wanatoa taarifa ya kuogfya katika jamii..

#SiasazaMatukio
Kamata harafu ziba mdomo siku kadhaa.Mwenye mbwa atatoka hadharani. huyu ana tumiwa.
 
Magu hajui siasa na wala hana uvumilivu.

Angejitambua mapema wala asingethubutu ku contest na hatimae kupema madaraka makubwa ya Nchi.

People(politicians) they twist you then if you are not stable wanagonga nyundo hapohapo kwenye udhaifu wako na mwisho wa siku utaboronga tu.

Huu ni mwanzo. Asipokuwa makini na kuruhusu washauri wake, uongozi atauona mchungu.

Badala ya kupiga hatua kumi mbele za kuwaletea maendeleo wananchi, atajikuta karudi nyuma hatua ishirini.

Atambue kuwa wapo wanasiasa ambao wanaweza kutumiwa na mahasimu wake kuyumbisha jitihada zote afanyazo rais.

Ikumbukwe kuwa Grand Corrupt Scandals bado hazijaguswa, mikataba tata kama symbion bado haijaguswa. Mataifa yanayohodhi miradi minono kama hiyo hawatakubali wafukunyuliwe na kutumbuliwa!

Wanachofanya ni kuchafua attention ya mkuu wa Nchi.

Apunguze ubabe na akurupukaji.
 
Zito anatafutwa na polisi lawama kwa Rais zinatoka wapi? Kwani huyo Zito ndiyo anaanza kukamatwa na polisi katika harakati zake za siasa?
 
Naona tunawaonea wivu sana watu wa burundi kwa jinsi wanavyo ishi
Kwa kweli naanza kuona Watanzania hasa toka jamii ya CCM wana wivu wa kike kabisa. Kwani Burundi maisha yao yanatuhusu nini hadi tulazimishe kuyaishii? Ni ujinga wa kiwendawazimu.

Bazazi!
 
Back
Top Bottom