Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye, leo Jumanne, Machi 21, 2017, atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari, Saa 7 mchana katika Ukumbi wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA). Atatoa msimamo wa Wizara ya Habari kuhusu kadhia ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, baada ya kuvamia ofisi za Clouds Media.

Jana asubuhi Waziri Nape aliunda Kamati ya watu watano ikiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambaye pia ndiye Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, ili kuchunguza tukio alilolifanya Makonda kabla ya kutoa tamko rasmi la Wizara anayoiongoza.


[HASHTAG]#LiveUpdates[/HASHTAG] leo tutakuletea LiveUpdates za Kile Kitakachojiri kwenye mkutano wa Mh. Nape Nnauye pamoja na waandishi wa Habari.
Msitegemee jipya hapa,kazi iliisha jana.
 
HUU NI UPEPO UTAPITA.MKUU WA NYUMBA AKISEMA.BABA ULIYEPANGA HUNA SAUTI.HAKUNA JIPYA.BORA YA MWIGULU KAKAA KIMIYA
 
nakumbuka kipindi kile lowasa na J.K waliitwa boys two men ..........ngoja tuone huu ushikaji wa baba na mwana utaishia wapi
 
Back
Top Bottom