atakuwa amepitia maisha ya taabu ndo kinachomsumbuaMwenye mbwa wala si wa kumwamini, hutenda asichoamini na huamini asichotenda sijui malezi yake yalikuwaje huyu jamaa!
Kila aliyetofauti na mtizamo wako ni chadema? Think bigKwanini chadema ndio mnashadidia sana mambo ya udaku
BashiriNape unataka nini
Nape ni chadema? Mkulu anaefatilia shilawadu(udaku) ni chadema???? Tumia akili za juu za chini zinakupotezaKwanini chadema ndio mnashadidia sana mambo ya udaku
Na KURA alijipigia PEKE YAKE.tunasubili kuona nani kaenda kuchukua fomu peke ake na kushinda kuwa rais na aliemteua tu
Lini kaomba radhiHamna chochote atakachofanya. Bashite mwenyewe keshaomba radhi uongozi wa clouds media. Kilichobaki ni bla bla bla. Kwa kauli ya jana ya mkulu ya kumkingia kifua bwana bashite unategemea kusikia kitu gani?
Businesse as usual. Hamna kitu. Ccm ni ile ile
Chiwaso e..... Saa saba mchana ndio kituo gani.?saa 7 mchana
No Longer at easy. !Kitu cha CHINUA ACHEBE hicho No longer to easy