DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 22,581
- 59,645
Tatizo lipo Kwa wanaume na sio Kwa hao watoto wa kike
Wanaume ndo wanaharibu jamii Kwa aslimia kubwa.
Kumkuta MTU Ana miaka 30s anahangaika na kitoto cha 2000s ni jambo la kawaida
Wanaume ndo wanabidi kualumiwa zaidi
Wanaume ndo wanaharibu jamii Kwa aslimia kubwa.
Kumkuta MTU Ana miaka 30s anahangaika na kitoto cha 2000s ni jambo la kawaida
Wanaume ndo wanabidi kualumiwa zaidi