THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #61
Ukuu wa mkoa ni utumish wa umma au si utumish wa umma?
Kama ni utumish wa umma kwanin msumeno huo usikate kote kote na kwa daudi bashite?
Kina mwigulu nchemba ambao walitoka hadharani kukanusha tuhuma kama hizi juu yao siyo wanasiasa?
Tunachotaka daudi bashite aoneshe vyetiiii....yeye si paul makonda...yeye ni daudi fa fa fa bin bashite wa kolomije

Zoezi la uhakiki liliendeshwa nchi nzima nida walipita kwenye idara zote za umma kwa kufuata sheria za utumishi. Wakuu wa mikoa na wilaya ni wateule wa serikali ambao hawafuati sheria za utumishi wa umma hata uhakiki haujaelekezwa kwao wakiwemo madiwani na wabunge. Makonda na wakuu wa mikoa wote hawamo kwenye zoezi la uhakiki. Kwanini makonda peke yake miongoni mwa wakuu wa mikoa wote ahakikiwe? Lkn kukiwa na kesi au shauri mahakamani litakalomtaka ahakikiwe basi atahakikiwa kwa amri ya mahakama. Uwanja ni wenu wenye ushahidi kufungua kesi mahakamani makonda ahakikiwe.