Watumishi wa umma wote waliondolewa kwa kosa la vyeti fake haki itendeke warudishwe kazini

Wakati mnaungana mkono, kisheria kuna kitu kinaitwa burden of proof. Yaani nani anatakiwa kuthibitisha. Kwenye hii case hilo liko upande gani maana mi naona mapovu tu hapa.
Sheria inasema yoyote kati ya mtuhumiwa au mtuhumu anaweza kutoa uthibitisho wa kukana au kuthibitisha tuhuma. Kwakuwa makonda amekataa kujibu sasa ni zamu ya gwajima kutoa uthibitisho badala ya kupiga kelele zisizo na matunda kila siku kwa sab kama ni kweli mtuhumiwa ametenda kosa si anajipanga kuharibu ushahidi?
 
Mkuu yaelekea upo vizuri kisheria.

Hebu tuweke wazi hapo kwenye hicho kipengele cha "burden of proof " vis a vis whistle blowers.

Je jukumu la kuisimamia mashtaka kwa kesi ya Jamhuri vs DAB litakiwa la Nani?
La raia yeyote atayepeleka malalamiko kwenye vyombo husika
 
Weka Orodha hata ya watu 10 tu na vyeo vyao na walikuwa wameajiriwa wapi, ili I we ushahidi, tena upost na vyeti vyao ambavyo vilionekana kuwa feki. Hapo ndipo tutakuelewa. Vinginevyo wewe tutakuchukulia kuwa ni mpika majungu na huenda wewe ukawa Li-Chadema.
Nzi wa kijani bana wana shida sana hawa punguani...
 
Hayo maneno yanauma sana!!!! sanaaaaa..... Mke wangu ni mwalimu 20 years Experience ila alisomea jina la mtu, kilichomo kwenye medula obolangata yake ni taaluma ya ualimu tena alikuwa hard working kinyama kuna kipindi alininyima kwichikwichi kwa sababu ya kumark mitihani.
katimuliwa bila kusikilizwa ndani 24 hours, leo hii haramia mmoja anachekelewa ni mwezi sasa. Polisi original, Polisi jamii, ulinzi shilikishi, TAKUKURU, NECTA, Wizara ya elimu, TAMISEMI, Maadili ya viongozi, TBC, Ikulu wote wametiwa ganzi ya nusu kaputi, wazazi wake wameshindwa kumshauri kibaka wao, makanisa/misikiti/masinagogi yanaendelea kumwombea mhalilifu, mbaya zaidi hata yeye mwenyewe hajiongezi hata kidogo. inaniuma sanaa narudia tena inaniumaaaa sanaaaaa!!! na msikitini siendi tena takuwa naswalia nyumbani.
Kwanini usiende mahakamani na ushahidi angalau for your wife sake kama unampenda kwa dhati?
 
Hivi ushahidi mnaozungumzia nyie kenge maji hamjui kuwa watu wanatuma emails kibao NECTA kama walivyotaka tena na uthibitisho juu wa watu waliosoma na huyo Bashite wenu, lakini hakuna linaloendelea?
 
Unajua kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia kwa jicho la uhalisia yanatia simanz na kuamsha hisia za chuki na hasira sana pale yanapotokea.

Takribani wiki zaid ya tatu sasa inaenda mwezi limeibuka suala la tuhuma za kuwepo kwa vyeti fake kwa kiongozi ambae amepewa madaraka makubwa sana ya ukuu wa mkoa katika nchi yetu...

Tuhuma hizo zimeendelea kupigiwa kelele mitandaoni...magazetini...redion. na katika vyombo mbali mbali vya habari kias cha kuzua hali ya sintofaham na taharuki ya hali ya juu sana.

Kitu ambacho kinashangaza ni kwamba serikali inatangaza kuwa katika ajenda ya kusimamia utumish wa umma na kurekebisha nidham na udanganyifu katika sekta hiyo ya utumish wa umma kias cha kuanzisha operation kabambe ya uhakiki wa vyeti na kuwaondoa wale ambao wamethibitika kugushi vyeti mara moja pind pale wanapothibitika na uhalifu huo.

Kinachoshangaza sasa ni kuhusu suala hili la bwana daudi bashite...kigugumiz kipo wapi?kwann msumeno huu unaonekana unakata upande mmoja tuh kulikon?kama ni hivyo basi wale watanzania wenzetu waliofukuzwa huko makazin kwa hoja hii ni vyema wakarudishwa tuh katika utumish wa umma...

Kwa sababu upo ushahid wa kutosha kuwa hata wao walikuwa ni wachapakaz hodari na waaminifu ukiachilia mbali suala la kugushi vyeti

Ifahamike wazi kwamba hakuna mtu anaepinga juhudi mfu za kupambana na dawa za kulevya alizozianzisha daudi bashite...la hasha...kwetu sisi tunaona upo umuhim wa kuhoji iweje kiongoz mkubwa wa ngaz kama hiyo anatuhumiwa kwa kosa chafu kama hilo na yeye mwenyewe amepiga kimya pamoja na serikali kwa ujumla?

Haki iko wapi?na kwann haki haitendeki?

Daudi bashite akae akitambua kuwa hata kama anajaribu kuipotezea hii mada na kujifanya kama vile ni upepo ambao utapita suala hili bado linahitaji majibu...linahitaji majibu ili tupate uhalisia wa haki za wale ambao wamehukumiwa na kufukuzwa kazi kwa kosa kama hilo...

Kuna shida gan kwa yeye kuja hadharani na kuonesha vyeti vyake kama kweli ana uhakika na elimu yake?

Suala hili siyo la upepo hivyo akae akilijua hilo.
KWANI UKUU WA MKOA UNAHITAJI PROFESSIONAL. HATA DARASA LA SABA ANAWEZA KUWA MKUU WA MKOA. AMEWEKWA KWA UTASHI WA RAIS NA SI VINGINEVYO
 
Sasa ndugu,mbona zoezi la uhakiki wa vyeti watumishi waliambiwa wapeleke vyeti vikahakikiwe?Kwann na wao basi upande unaohusika ambao ni serikali wasingeambiwa waende mahakamani kutaka watu wanaowahisia wapeleke vyeti?Double standard,huwezi halalisha haramu!
Zoezi la uhakiki liliendeshwa nchi nzima nida walipita kwenye idara zote za umma kwa kufuata sheria za utumishi. Wakuu wa mikoa na wilaya ni wateule wa serikali ambao hawafuati sheria za utumishi wa umma hata uhakiki haujaelekezwa kwao wakiwemo madiwani na wabunge. Makonda na wakuu wa mikoa wote hawamo kwenye zoezi la uhakiki. Kwanini makonda peke yake miongoni mwa wakuu wa mikoa wote ahakikiwe? Lkn kukiwa na kesi au shauri mahakamani litakalomtaka ahakikiwe basi atahakikiwa kwa amri ya mahakama. Uwanja ni wenu wenye ushahidi kufungua kesi mahakamani makonda ahakikiwe.
 
Unajua kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia kwa jicho la uhalisia yanatia simanz na kuamsha hisia za chuki na hasira sana pale yanapotokea.

Takribani wiki zaid ya tatu sasa inaenda mwezi limeibuka suala la tuhuma za kuwepo kwa vyeti fake kwa kiongozi ambae amepewa madaraka makubwa sana ya ukuu wa mkoa katika nchi yetu...

Tuhuma hizo zimeendelea kupigiwa kelele mitandaoni...magazetini...redion. na katika vyombo mbali mbali vya habari kias cha kuzua hali ya sintofaham na taharuki ya hali ya juu sana.

Kitu ambacho kinashangaza ni kwamba serikali inatangaza kuwa katika ajenda ya kusimamia utumish wa umma na kurekebisha nidham na udanganyifu katika sekta hiyo ya utumish wa umma kias cha kuanzisha operation kabambe ya uhakiki wa vyeti na kuwaondoa wale ambao wamethibitika kugushi vyeti mara moja pind pale wanapothibitika na uhalifu huo.

Kinachoshangaza sasa ni kuhusu suala hili la bwana daudi bashite...kigugumiz kipo wapi?kwann msumeno huu unaonekana unakata upande mmoja tuh kulikon?kama ni hivyo basi wale watanzania wenzetu waliofukuzwa huko makazin kwa hoja hii ni vyema wakarudishwa tuh katika utumish wa umma...

Kwa sababu upo ushahid wa kutosha kuwa hata wao walikuwa ni wachapakaz hodari na waaminifu ukiachilia mbali suala la kugushi vyeti

Ifahamike wazi kwamba hakuna mtu anaepinga juhudi mfu za kupambana na dawa za kulevya alizozianzisha daudi bashite...la hasha...kwetu sisi tunaona upo umuhim wa kuhoji iweje kiongoz mkubwa wa ngaz kama hiyo anatuhumiwa kwa kosa chafu kama hilo na yeye mwenyewe amepiga kimya pamoja na serikali kwa ujumla?

Haki iko wapi?na kwann haki haitendeki?

Daudi bashite akae akitambua kuwa hata kama anajaribu kuipotezea hii mada na kujifanya kama vile ni upepo ambao utapita suala hili bado linahitaji majibu...linahitaji majibu ili tupate uhalisia wa haki za wale ambao wamehukumiwa na kufukuzwa kazi kwa kosa kama hilo...

Kuna shida gan kwa yeye kuja hadharani na kuonesha vyeti vyake kama kweli ana uhakika na elimu yake?

Suala hili siyo la upepo hivyo akae akilijua hilo.
the Big Show jitoe bhana kwenye hii band wagon. kwani wee ni drug dealer au ni chadema? ona sasa unadai elfu kadhaa ya wenye vyeti feki kwenye kazi za taaluma waliyotimukiwa warudishwe. yaani mafanikio yote hayo tutupe ili kumkomesha makonda kwa kisasi cha wauza dawa za kulevya. wacha bhana the big show.
 
Nikiona sura ya bashite nadhani 2020 bora nilale tu p kuliko kupiga kura kwa wanasiasa sitaki kabisa siamini maneno yao hata kidogo
 
Back
Top Bottom