Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,497
ile audio akimsema Pengo ilikuwa ya mtandaoni. Kuna sheria ya makosa ya mtandaoniYes serikali haiwezi kufungua kesi ya mtindo kama huu ndio maana necta wanawaomba wapeleke ushahidi ndio wafungue kesi....hata ukienda kuripoti polisi umeibiwa unaulizwa unamhisi nani kakuibia ukimtaja wanaanza nae usipomtaja wa kuanzia unaweza kuambiwa nenda ukimpata unayemhisi njoo au ukimuona mtu ana vitu ulivyoibiwa njoo tukamkamate. Sasa makonda unaendaje kumkata akikuuliza unasema nimemsikia gwajima ameongea mtandaoni huo si ujinga wa kiwango cha zege.