MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
- Thread starter
- #61
Kwa nini unasema hivyo?Ishukuriwe CCM na serikali zake!
Kwa nini unasema hivyo?Ishukuriwe CCM na serikali zake!
Wazo lako ni zuri kwa sababu kuna tetesi zinasema kwa sasa wakurugenzi na wahasibu wameanza kupika namba za watumishi hewa ili isionekane kama kuna watumishi hewa wengi kwa sababu wanaogopa kutumbuliwa.Serikali iwabane wakuu wa idara,hilo lilikuwa chaka lao la kujipatia malipo ya ziada.Wapewe pay roll wabainishe kituo cha kila mtumishi,then waangalizi (TISS/TAKUKURU) wagawane japo Tarafa moja au kata kuhakiki kama watu hao wapo vituoni au nje ya kituo kwa taarifa,ndo watafahamu ukubwa wa tatizo.
Zichukuliwe hatua kali dhidi ya wakuu wa idara walioisababishia serikali na watanzania hasara kubwa.
Siku 15 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa Wakuu Wapya wa Mikoa kuhakikisha wanawabainisha na kuwaondoa wafanyakazi hewa zimeanza kutoa picha kuhusu tatizo la wafanyakazi hewa nchini.
Mpaka sasa imebainika kuna wafanyakazi 515 katika mikoa mitatu ambayo ni Kigoma (169), Dodoma (144) na Singida (202).
Taswira hii inaonyesha jinsi ambavyo tatizo la wafanyakazi hewa linaweza kuwa ni kubwa zaidi ya ilivyofikiriwa hasa ikichukuliwa limekuwepo kwa muda mrefu huku mamilioni ya pesa za walipa kodi yakienda kwenye mifuko ya wajanja wachache.
Inakadiriwa serikali ina wafanyakazi zaidi 500,000 na inalipa mishahara takriban Sh. bilioni 549 kwa mwezi, ambayo kati ya fedha hizo kuna malipo ya wafanyakazi hewa.
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
===============================
Mdau mmoja ametoa angalizo muhimu kuhusu kinachoendelea kwenye zoezi la kuhakiki wafanyakazi ambapo amesema;
Mwingine amesema/ameandika hivi;
Kwa nini unasema hivyo?
Wahenga walisema, kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake.Ndio maana watumishi wanapenda kuajiliwa serikali ata kama mshahara mdogo wanafikiria kwenda kuiba maana walio ndani wanajitamba sana mitaani na wao wanafikiria kuiba na kugushi nyalaka mwenyezimungu awalaani.sisi huku vifaa na DAWA Hanna wazee wanakufa kwakukosa dawa
mbona mwigulu alisema ametatua tatizo hili ?Serikali iwabane wakuu wa idara,hilo lilikuwa chaka lao la kujipatia malipo ya ziada.Wapewe pay roll wabainishe kituo cha kila mtumishi,then waangalizi (TISS/TAKUKURU) wagawane japo Tarafa moja au kata kuhakiki kama watu hao wapo vituoni au nje ya kituo kwa taarifa,ndo watafahamu ukubwa wa tatizo.
Zichukuliwe hatua kali dhidi ya wakuu wa idara walioisababishia serikali na watanzania hasara kubwa.
wewe bibi mtetea wafu upo? Jk yuko wapi huu uchafu hakuona?
Ndio maana watumishi wanapenda kuajiliwa serikali ata kama mshahara mdogo wanafikiria kwenda kuiba maana walio ndani wanajitamba sana mitaani na wao wanafikiria kuiba na kugushi nyalaka mwenyezimungu awalaani.sisi huku vifaa na DAWA Hanna wazee wanakufa kwakukosa dawa
we peleka kelele zako msoga huko kwan hujui magufuli alidodondokewa na dodo tu
Nafikiri kazi si kubaini tu, haya sasa alibaina hayo na akafanyaje?? toka 2013/14 hadi leo waliendele lipwa hao watenda kazi hewa...
ifikesehemu tujivunie hatu zinazochukuliwa baada ya matokeo ya chunguzi kama hizo na si kufurahua ripoti za chunguzi zetu na kuendelea na business as usual, so what?!!
Ni kweli Kikwete anastahili pongezi kwa kuimarisha taasisi ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) lakini muhimu zaidi ni kuruhusu repoti kuwekwa wazi kwa Watanzania wote.
Wakati wa utawala wa Mzee Mkapa ilikuwa ni marufuku kwa repoti ya CAG kuwekwa kwenye public domain.
Sorry to your familyIshukuriwe CCM na serikali zake!
wilaya urambo inaongozaSiku 15 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa Wakuu Wapya wa Mikoa kuhakikisha wanawabainisha na kuwaondoa wafanyakazi hewa zimeanza kutoa picha kuhusu tatizo la wafanyakazi hewa nchini.
Mpaka sasa imebainika kuna wafanyakazi 515 katika mikoa mitatu ambayo ni Kigoma (169), Dodoma (144) na Singida (202).
Taswira hii inaonyesha jinsi ambavyo tatizo la wafanyakazi hewa linaweza kuwa ni kubwa zaidi ya ilivyofikiriwa hasa ikichukuliwa limekuwepo kwa muda mrefu huku mamilioni ya pesa za walipa kodi yakienda kwenye mifuko ya wajanja wachache.
Inakadiriwa serikali ina wafanyakazi zaidi 500,000 na inalipa mishahara takriban Sh. bilioni 549 kwa mwezi, ambayo kati ya fedha hizo kuna malipo ya wafanyakazi hewa.
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
===============================
Mdau mmoja ametoa angalizo muhimu kuhusu kinachoendelea kwenye zoezi la kuhakiki wafanyakazi ambapo amesema;
Mwingine amesema/ameandika hivi;
Kuna eneo nyeti sana la wafanyakazi hewa ambalo linahitaji utulivu,commitment na uzalendo katika kuwabaini hawa wafanyakazi hewa.
ni muhimu Magufuli akaunda timu maalum itakayoenda halmashauri za wilaya kuverify hizo taarifa walizoandaa....hii timu ikifika huko iangalie maeneo yafuatayo...
-Wastaafu wa miaka kama mitano nyuma kama bado wako kwenye mfumo wa lawson.
-Waliofukizwa kazi
--Majina yaliyofanana...kuna baadhi ni mtu mmoja lakini check no ni mbili tofauti.
-waliohama vituo hasa kutoka mkoa A kwenda B...waangalie kule alikotoka na hapo alipo.
Watumishi waliohama kutoka serikalini na kwenda kwenye NGOs.
Watumishi walioomba likizo bila malipo.
Hii timu ikimaliza kuhakiki ichapishe orodha ya watumishi kwa kila kituo na kuibandika kwenye vituo vya kazi.
Wazo lako ni zuri kwa sababu kuna tetesi zinasema kwa sasa wakurugenzi na wahasibu wameanza kupika namba za watumishi hewa ili isionekane kama kuna watumishi hewa wengi kwa sababu wanaogopa kutumbuliwa.
Kiukweli hilo zoezi linaweza kuwasababishia watumishi halali kukosa ajira zao kwani wakuu was mikoa na wilaya wanaweza Fanya hivyo ili kujisafisha kumbe watumishi hewa wameachwa hivyo in bora ukaanzishwa mpango mwingine was kukagua CV za kila mtumishi hili lingefanikiwa kwani unakuta watumishi zaidi ya mmoja wanatumia cheti cha form four kimoja lakini kwa sekta tofauti ndio ujanja unaofanyika sasahivi hivyo Mimi nashauri lifanyike hilo pia litasaidia kutambua watumishi hewa.Siku 15 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa Wakuu Wapya wa Mikoa kuhakikisha wanawabainisha na kuwaondoa wafanyakazi hewa zimeanza kutoa picha kuhusu tatizo la wafanyakazi hewa nchini.
Mpaka sasa imebainika kuna wafanyakazi 515 katika mikoa mitatu ambayo ni Kigoma (169), Dodomform144) na Singida (202).
Taswira hii inaonyesha jinsi ambavyo tatizo la wafanyakazi hewa linaweza kuwa ni kubwa zaidi ya ilivyofikiriwa hasa ikichukuliwa limekuwepo kwa muda mrefu huku mamilioni ya pesa za walipa kodi yakienda kwenye mifuko ya wajanja wachache.
Inakadiriwa serikali ina wafanyakazi zaidi 500,000 na inalipa mishahara takriban Sh. bilioni 549 kwa mwezi, ambayo kati ya fedha hizo kuna malipo ya wafanyakazi hewa.
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
===============================
Mdau mmoja ametoa angalizo muhimu kuhusu kinachoendelea kwenye zoezi la kuhakiki wafanyakazi ambapo amesema;
Mwingine amesema/ameandika hivi;
Ninacho kiona kwa @faizafox niutetezi wenye vielement wa kaudini hivi ingawa anacho tetea si cha kweli, ni lazima ukubali kuwa serikali ya awamu ya nne ilipwaya tena sana ,huenda raisi alikuwa na mambo mema kwa taifa lakini ufuatiliaji na usimamizi wake ulikiwa na kasoro ,au watendaji wake walikuwa wakimuangusha kwa kugundua udhaifu wake,Huo uchafu bila ya Kikwete usingeuona, kwanini hujiulizi, Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa wapi?
Haya yote unaoyaona na matokeo ya Kikwete kuanzisha system ya kuyabaini hayo, jisomee:
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
Ninacho kiona kwa @faizafox niutetezi wenye vielement wa kaudini hivi ingawa anacho tetea si cha kweli, ni lazima ukubali kuwa serikali ya awamu ya nne ilipwaya tena sana ,huenda raisi alikuwa na mambo mema kwa taifa lakini ufuatiliaji na usimamizi wake ulikiwa na kasoro ,au watendaji wake walikuwa wakimuangusha kwa kugundua udhaifu wake,