Aliyeanzisha si ajabu kuyabaini sisi tunashukuru kuyashughulikia. Najua unataka kumsifu Kikwete. Zote ni sifa ila sifa unampa ni ya kipuuzi. Mwenye aibu penye sifa ya aina hiyo angalau ananyamaza na kuficha uso wake mbele za watu.Haya yote unaoyaona na matokeo ya Kikwete kuanzisha system ya kuyabaini hayo, jisomee:
Katika repoti yake ya mwaka 2013/14, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alibainisha kuna zaidi ya Sh141.4bn zimelipwa kwa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha.
Aliyeanzisha si ajabu kuyabaini sisi tunashukuru kuyashughulikia. Najua unataka kumsifu Kikwete. Zote ni sifa ila sifa unampa ni ya kipuuzi. Mwenye aibu penye sifa ya aina hiyo angalau ananyamaza na kuficha uso wake mbele za watu.
Hii tatizo ni kubwa na imelelewa na CCM siku wakitoka madarakani mtashuhudia mengi
we ungenyamaza tu mtu wako katupeleka pabaya sana kwenye utawala wake.Wewe kichaa mdogo.
Sasa jiulize yupi bora mkubwa au mdogo?
Hajui huyo wala hajui kama hajui, msaidie kwanza ajue kuwa hajui kiisha mjulishe anachopaswa kujua, lakini usisahau kutumia zana za kufundishia hafundishiki Faizafox kirahisiwe ungenyamaza tu mtu wako katupeleka pabaya sana kwenye utawala wake.