Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,542
Joseph kayabaini na kuyashughulikia haya madudu ndani ya miezi mitatu, huo mwaka mmoja huyo swahiba wako unayemtetea kila siku alishindwaje? Akiitwa dhaifu mnasema tunamuonea. Sijakosea kukuita zuzu.2014 tayari kumebaki mwaka mmoja tu ufanyike uchaguzi wa Rais mpya, Kikwete ni mtu wa mahesabu makali, akautumia mwaka huo kumtafuta mtu ambae atakuja shika hatamu na kuwashughulikia, kumbuka hilo.
Sasa mnalo.