Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

Ni kuandika tu doc ya kufoji kuonyesha mimba ilitishia uhai wa mama.

Kisha ishu inabaki kwa aliyempa mimba.

Lakini kwanini tusikubaliane kwamba abortion ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango? Kisha ikawa inafanywa katika namna sahihi kuliko kujificha ficha na kusababisha mambo mengine
Hm. Chizi kweli. Wangekutoa ungekua unaandika hizi pumba? Wewe ulizaliwa mama yako akiwa na umri gani!? Kama hiyo 14-15 mbona hujawa aborted? Kama alikuwa na 20s, kwa nini hakuza akiwa na umri huo?
Na uhakikishe vijana mtaani wana access ya kumbinua binti yako kila kuchako,mimba mtoe tu. Si ndo uanaume huo! Na sheria sasa ya kufunga wanaogonga under 18, ya kazi gani?
 
MCT bado hawajaweka mkazo kwa CO's kusajiliwa. Nawafahamu wengi ambao hawapo kwenye database ya MCT.
Wanafanya kazi wapi cuz mwa Nijuavyo mimi huwezi kufanya kazi Private ukiwa Hauna Reg namba..
Na utatibuje watu wa Bima bila kuwa na Reg number labda kama watafanya kazi kwemhe maduka ya Dawa na Pharmacy kama dispenser
 
Wanafanya kazi wapi cuz mwa Nijuavyo mimi huwezi kufanya kazi Private ukiwa Hauna Reg namba..
Na utatibuje watu wa Bima bila kuwa na Reg number labda kama watafanya kazi kwemhe maduka ya Dawa na Pharmacy kama dispenser
Daktari, wapo wengi serikalini ambao hawajajisajili MCT.
Kwa Private lazima awe na MCT number ili atambuliwe na kuajirika.
 
Sidhani kama serikali inaweza kumfukuza kazi daktari kirahisi.
Watahanishwa maisha yataendelea
Wanafukuzwa vizuri kabisa ni vile haupati taarifa,kuna mfanyakazi mwenzangu amefukuzwa kazi na MCT wamesitisha leseni yake maisha na mwaka huu anamalizia kifungo chake jela
 
MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme wakati akizungumza na watumishi wa idara ya afya kutoka Halmashauri za Msalala, Ushetu na Manispaa ya Kahama kama sehemu ya kuwakumbusha wajibu wao na kuagiza wale wanaobainika kwenda kinyume na misingi ya kazi zao wawajibishwe kisheria na siyo vinginevyo.

Chanzo: Nipashe
Nafikiri walipaswa kupongezwa wameisaidia serikali na mtoto huyo…
 
Hapana bila kusajiliwa MCT hauwezi kufanya kazi hospital yoyote ile,kipengele cha bima ile sehemu ya practitioner utajaza kwa Reg no: ipi?
Nipo kwenye field. Najua ninachoongea.
Mkazo unawekwa zaidi 'Private' na sio Public hospitals
 
Sheria ya jela miaka 30, ingepigwa kwa nusu ME 15, KE 15 hapa tutasahau hizi kesi
Naunga hoja ,,hivi vitoto vinatamanisha Sana
Nilikutana na mtoto mmoja mzuri kwenye gari .paja, mzigo Kama wote kwenye kujuana ananiambia et Yuko form 3 , nilikataa kabisa ila ndo ukweli ulikuwa
 
Back
Top Bottom