GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 387
- 489
Inapatikana wapi ?Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika
Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva
Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni kuna kazi zingine za utunzaji wa mashamba ambazo ni sh 7,000/= kwa siku. Kazi ni saa moja kamili hadi saa nane mchana
Hakuna rushwa yoyote na kazi uhakika.
Kampuni inaitwa Lipton teas and Infusion zamani Unilever.
Pm me na karibu sana.