Wanawake wengi hawana huruma kwa Wanaume. True story

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
442
749
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.

Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn.

Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta hapo, Yeye wanakunywa na Marafiki wa kike, na kuondoka zao.
Hivyo kwenye Pasaka hii alikuwa peke yake akawa karbu na meza yangu na kanunua kinywaji chake , pia Nami nikampa ofa baadae nikaona sio mbaya ...ni kumwaeleza Straight ,kuwa nimemwelewa japo sio kwa leo Bali ni muda tu na Mwona hapo na Kila mtu yupo bize kivyake kama Vpi leo Tuondoke wote.

Kwanza Akakubali , pili Akaniambia Kazini utaenda saa ngapi. nikwambia asubuhi .

akajibu Ukitaka Tukalale wote nikasema Kwan mpaka kulala tu Akasema yeye hawezi ku do bila kufika mpaka asubuhi , kulala.
nikasema okay Twende sehemu napo pajua mm ni kama Elfu 15 tu.
akasema Huko sio pazuri anasehemu nzuri ya kama Elfu 22k ndio pazuri .
Nikasema ok Sawa Akaniambia Na pesa ya kuni acha asubuhi unayo ?
Nikasema n shi ngapi?
Akasema Elfu 30
Nikajb mbona nyingi bora tusilale
Akasema Hawezi bila kulala.

Kisha Hapo hapo Akasema niagizie chakula , supu na ndizi Nahis njaa ndio Tuendelee na Haya Maongezi .
moyoni nikasema Hatujaelewana still bado Unaagiza chakula, bado unataka nilale hadi morning .Tena eneo unalotaka ww..nikasema Wanawake Hawana Huruma kabisa Kwetu.

Nilicho Fanya ..Chukua kadi yangu leo na kazi muhimu ya kufanya online .
Kwishnei..Ila Kani Bip wakuu nimrudie siku nyingne au Nimpotezee kama nilivyo amua?

...
My special one Kasafiri Hayuko close na mm kwa Sasa.
...
Majibu wana JF.
 
maisha ya ss hv ni kuviziana

wewe siyo kwamba unataka mahusiano na huyo dada wala huna mpango wa kumuoa so kiufupi unavizia kvm@ na yeye pia hana mpango wa mahusiano na wewe so na yeye anavizia pesa zako atakayekaa kizembe ndo ameliwa hivyo

ukipata pesa utamtafuta tu 70k kwa utelezi kama ni kazi ya kwenda siyo mbaya
 
Sawa 70k siyo mbaya inabidi utelezi uupate Labda mara wk zote, ni 4 kwa mwezi 4x70k = 280K Per month .
kime kula kichwa cha chin bado mahitaj mengne.
Mtaajirwa sana kwa wahindi Maada vijana hesabu ya ku make ni fellia ..zero as I think ..lini utakuwa na kampuni kama 70k ni ndogo per day?
 
Mhh hi stori yako, unaenda kwa mwanamke anaejiuza unataka akuhurumie sababu huna hela? Yeye hana kazi mpaka anauza mwili wake unataka akuhurumie wewe? Yani wewe ndo hujielewi, wanawake hao wengi kwanza wanaojiuza wanadhulumiwa sana, hio 15,000 inamsaidia nini? Heri ale kabisa maana hata io 15,000 unaweza usimpe hao wengi sana wanaahidiwa pesa afu wanadhulumiwa ukikaa nao ndo utajua wanaume ndo hawana huruma, na amekwambia mshinde usiku sababu usikute hana pa kulala..Wewe ndo huna huruma unabargain mpaka mwili wa mtu? Akuhurumie wewe mme wake? Kwanini unahisi mwili wake ni halali yako? Aisee umefanya niogope wanaume, wadada tafuteni elimu… sijategemea eti mtu anauza mwili wake kwa 22,000 na mtu anaona kama anaonewa😳😳 hivi wanawake mlioolewa mtueleze ukweli is it worth it kuwa na mwanaume katika miaka hii mbona hali inatishA
 
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.

Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn.

Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta hapo, Yeye wanakunywa na Marafiki wa kike, na kuondoka zao.
Hivyo kwenye Pasaka hii alikuwa peke yake akawa karbu na meza yangu na kanunua kinywaji chake , pia Nami nikampa ofa baadae nikaona sio mbaya ...ni kumwaeleza Straight ,kuwa nimemwelewa japo sio kwa leo Bali ni muda tu na Mwona hapo na Kila mtu yupo bize kivyake kama Vpi leo Tuondoke wote.

Kwanza Akakubali , pili Akaniambia Kazini utaenda saa ngapi. nikwambia asubuhi .

akajibu Ukitaka Tukalale wote nikasema Kwan mpaka kulala tu Akasema yeye hawezi ku do bila kufika mpaka asubuhi , kulala.
nikasema okay Twende sehemu napo pajua mm ni kama Elfu 15 tu.
akasema Huko sio pazuri anasehemu nzuri ya kama Elfu 22k ndio pazuri .
Nikasema ok Sawa Akaniambia Na pesa ya kuni acha asubuhi unayo ?
Nikasema n shi ngapi?
Akasema Elfu 30
Nikajb mbona nyingi bora tusilale
Akasema Hawezi bila kulala.

Kisha Hapo hapo Akasema niagizie chakula , supu na ndizi Nahis njaa ndio Tuendelee na Haya Maongezi .
moyoni nikasema Hatujaelewana still bado Unaagiza chakula, bado unataka nilale hadi morning .Tena eneo unalotaka ww..nikasema Wanawake Hawana Huruma kabisa Kwetu.

Nilicho Fanya ..Chukua kadi yangu leo na kazi muhimu ya kufanya online .
Kwishnei..Ila Kani Bip wakuu nimrudie siku nyingne au Nimpotezee kama nilivyo amua?

...
My special one Kasafiri Hayuko close na mm kwa Sasa.
...
Majibu wana JF.
Huu ni mjumlisho rejareja. Kwani, wanaume hawana huruma kwa wanawake? Mbona wanawaoa na kuwazalisha nao wakiwazalia? Acha ubaguzi wa kijinsia mwanangu hauna faida wala msaada wowote iwe ni kwako au wenzako kama wewe.
 
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.

Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn.

Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta hapo, Yeye wanakunywa na Marafiki wa kike, na kuondoka zao.
Hivyo kwenye Pasaka hii alikuwa peke yake akawa karbu na meza yangu na kanunua kinywaji chake , pia Nami nikampa ofa baadae nikaona sio mbaya ...ni kumwaeleza Straight ,kuwa nimemwelewa japo sio kwa leo Bali ni muda tu na Mwona hapo na Kila mtu yupo bize kivyake kama Vpi leo Tuondoke wote.

Kwanza Akakubali , pili Akaniambia Kazini utaenda saa ngapi. nikwambia asubuhi .

akajibu Ukitaka Tukalale wote nikasema Kwan mpaka kulala tu Akasema yeye hawezi ku do bila kufika mpaka asubuhi , kulala.
nikasema okay Twende sehemu napo pajua mm ni kama Elfu 15 tu.
akasema Huko sio pazuri anasehemu nzuri ya kama Elfu 22k ndio pazuri .
Nikasema ok Sawa Akaniambia Na pesa ya kuni acha asubuhi unayo ?
Nikasema n shi ngapi?
Akasema Elfu 30
Nikajb mbona nyingi bora tusilale
Akasema Hawezi bila kulala.

Kisha Hapo hapo Akasema niagizie chakula , supu na ndizi Nahis njaa ndio Tuendelee na Haya Maongezi .
moyoni nikasema Hatujaelewana still bado Unaagiza chakula, bado unataka nilale hadi morning .Tena eneo unalotaka ww..nikasema Wanawake Hawana Huruma kabisa Kwetu.

Nilicho Fanya ..Chukua kadi yangu leo na kazi muhimu ya kufanya online .
Kwishnei..Ila Kani Bip wakuu nimrudie siku nyingne au Nimpotezee kama nilivyo amua?

...
My special one Kasafiri Hayuko close na mm kwa Sasa.
...
Majibu wana JF.
Kumbe unaye mtu wako.
Hayo mengine ni kujitakia. Kama huna nguvu usiwe kichaa.
 
Demu alikua fair sana.. ulisema unachotaka nae Akasema anachitaka.. just simple kiutu uzima.. wala sio ukatili

Bahati mbaya ukiwa huna hela kila kitu unakiona ghali mno.. hapo kuna wenzio wanaitoa million bila tabu..

Mimi nafikiri na wewe ungetangaza mapema kuwa hapa nina kiasi fulani tu kwa mchakato mzima.. huenda angekuelewa tu
 
Mhh hi stori yako, unaenda kwa mwanamke anaejiuza unataka akuhurumie sababu huna hela? Yeye hana kazi mpaka anauza mwili wake unataka akuhurumie wewe? Yani wewe ndo hujielewi, wanawake hao wengi kwanza wanaojiuza wanadhulumiwa sana, hio 15,000 inamsaidia nini? Heri ale kabisa maana hata io 15,000 unaweza usimpe hao wengi sana wanaahidiwa pesa afu wanadhulumiwa ukikaa nao ndo utajua wanaume ndo hawana huruma, na amekwambia mshinde usiku sababu usikute hana pa kulala..Wewe ndo huna huruma unabargain mpaka mwili wa mtu? Akuhurumie wewe mme wake? Kwanini unahisi mwili wake ni halali yako? Aisee umefanya niogope wanaume, wadada tafuteni elimu… sijategemea eti mtu anauza mwili wake kwa 22,000 na mtu anaona kama anaonewa😳😳 hivi wanawake mlioolewa mtueleze ukweli is it worth it kuwa na mwanaume katika miaka hii mbona hali inatishA
we pia ulivoongea kwa uchungu unaonekan muathirika wa kuzurumiwa mawindon pia kama uyo mwenzako😃
 
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.

Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn.

Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta hapo, Yeye wanakunywa na Marafiki wa kike, na kuondoka zao.
Hivyo kwenye Pasaka hii alikuwa peke yake akawa karbu na meza yangu na kanunua kinywaji chake , pia Nami nikampa ofa baadae nikaona sio mbaya ...ni kumwaeleza Straight ,kuwa nimemwelewa japo sio kwa leo Bali ni muda tu na Mwona hapo na Kila mtu yupo bize kivyake kama Vpi leo Tuondoke wote.

Kwanza Akakubali , pili Akaniambia Kazini utaenda saa ngapi. nikwambia asubuhi .

akajibu Ukitaka Tukalale wote nikasema Kwan mpaka kulala tu Akasema yeye hawezi ku do bila kufika mpaka asubuhi , kulala.
nikasema okay Twende sehemu napo pajua mm ni kama Elfu 15 tu.
akasema Huko sio pazuri anasehemu nzuri ya kama Elfu 22k ndio pazuri .
Nikasema ok Sawa Akaniambia Na pesa ya kuni acha asubuhi unayo ?
Nikasema n shi ngapi?
Akasema Elfu 30
Nikajb mbona nyingi bora tusilale
Akasema Hawezi bila kulala.

Kisha Hapo hapo Akasema niagizie chakula , supu na ndizi Nahis njaa ndio Tuendelee na Haya Maongezi .
moyoni nikasema Hatujaelewana still bado Unaagiza chakula, bado unataka nilale hadi morning .Tena eneo unalotaka ww..nikasema Wanawake Hawana Huruma kabisa Kwetu.

Nilicho Fanya ..Chukua kadi yangu leo na kazi muhimu ya kufanya online .
Kwishnei..Ila Kani Bip wakuu nimrudie siku nyingne au Nimpotezee kama nilivyo amua?

...
My special one Kasafiri Hayuko close na mm kwa Sasa.
...
Majibu wana JF.
Matumizi yasiyozidi laki kwa huyo mwanamke wako ndio utuletee uzi hapa? Mapenzi ni pesa, kama huna achana nayo kabisa.
 
Sawa 70k siyo mbaya inabidi utelezi uupate Labda mara wk zote, ni 4 kwa mwezi 4x70k = 280K Per month .
kime kula kichwa cha chin bado mahitaj mengne.
Mtaajirwa sana kwa wahindi Maada vijana hesabu ya ku make ni fellia ..zero as I think ..lini utakuwa na kampuni kama 70k ni ndogo per day?
Anzisha hiyo kampuni yako upate pesa ndipo ujiingize kwenye u-malaya, mapenzi ni pesa, huna kaa pembeni.
 
Sawa 70k siyo mbaya inabidi utelezi uupate Labda mara wk zote, ni 4 kwa mwezi 4x70k = 280K Per month .
kime kula kichwa cha chin bado mahitaj mengne.
Mtaajirwa sana kwa wahindi Maada vijana hesabu ya ku make ni fellia ..zero as I think ..lini utakuwa na kampuni kama 70k ni ndogo per day?
RUBBISH
 
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.

Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn.

Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta hapo, Yeye wanakunywa na Marafiki wa kike, na kuondoka zao.
Hivyo kwenye Pasaka hii alikuwa peke yake akawa karbu na meza yangu na kanunua kinywaji chake , pia Nami nikampa ofa baadae nikaona sio mbaya ...ni kumwaeleza Straight ,kuwa nimemwelewa japo sio kwa leo Bali ni muda tu na Mwona hapo na Kila mtu yupo bize kivyake kama Vpi leo Tuondoke wote.

Kwanza Akakubali , pili Akaniambia Kazini utaenda saa ngapi. nikwambia asubuhi .

akajibu Ukitaka Tukalale wote nikasema Kwan mpaka kulala tu Akasema yeye hawezi ku do bila kufika mpaka asubuhi , kulala.
nikasema okay Twende sehemu napo pajua mm ni kama Elfu 15 tu.
akasema Huko sio pazuri anasehemu nzuri ya kama Elfu 22k ndio pazuri .
Nikasema ok Sawa Akaniambia Na pesa ya kuni acha asubuhi unayo ?
Nikasema n shi ngapi?
Akasema Elfu 30
Nikajb mbona nyingi bora tusilale
Akasema Hawezi bila kulala.

Kisha Hapo hapo Akasema niagizie chakula , supu na ndizi Nahis njaa ndio Tuendelee na Haya Maongezi .
moyoni nikasema Hatujaelewana still bado Unaagiza chakula, bado unataka nilale hadi morning .Tena eneo unalotaka ww..nikasema Wanawake Hawana Huruma kabisa Kwetu.

Nilicho Fanya ..Chukua kadi yangu leo na kazi muhimu ya kufanya online .
Kwishnei..Ila Kani Bip wakuu nimrudie siku nyingne au Nimpotezee kama nilivyo amua?

...
My special one Kasafiri Hayuko close na mm kwa Sasa.
...
Majibu wana JF.
Kwa hiyo Mkalala mpaka asubuhi?
Huyo mbona ni sex worker?
 
Mhh hi stori yako, unaenda kwa mwanamke anaejiuza unataka akuhurumie sababu huna hela? Yeye hana kazi mpaka anauza mwili wake unataka akuhurumie wewe? Yani wewe ndo hujielewi, wanawake hao wengi kwanza wanaojiuza wanadhulumiwa sana, hio 15,000 inamsaidia nini? Heri ale kabisa maana hata io 15,000 unaweza usimpe hao wengi sana wanaahidiwa pesa afu wanadhulumiwa ukikaa nao ndo utajua wanaume ndo hawana huruma, na amekwambia mshinde usiku sababu usikute hana pa kulala..Wewe ndo huna huruma unabargain mpaka mwili wa mtu? Akuhurumie wewe mme wake? Kwanini unahisi mwili wake ni halali yako? Aisee umefanya niogope wanaume, wadada tafuteni elimu… sijategemea eti mtu anauza mwili wake kwa 22,000 na mtu anaona kama anaonewa😳😳 hivi wanawake mlioolewa mtueleze ukweli is it worth it kuwa na mwanaume katika miaka hii mbona hali inatishA
Hata hukuelewa mada, ila ukakimbilia kuandika Insha
 
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.

Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn.

Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta hapo, Yeye wanakunywa na Marafiki wa kike, na kuondoka zao.
Hivyo kwenye Pasaka hii alikuwa peke yake akawa karbu na meza yangu na kanunua kinywaji chake , pia Nami nikampa ofa baadae nikaona sio mbaya ...ni kumwaeleza Straight ,kuwa nimemwelewa japo sio kwa leo Bali ni muda tu na Mwona hapo na Kila mtu yupo bize kivyake kama Vpi leo Tuondoke wote.

Kwanza Akakubali , pili Akaniambia Kazini utaenda saa ngapi. nikwambia asubuhi .

akajibu Ukitaka Tukalale wote nikasema Kwan mpaka kulala tu Akasema yeye hawezi ku do bila kufika mpaka asubuhi , kulala.
nikasema okay Twende sehemu napo pajua mm ni kama Elfu 15 tu.
akasema Huko sio pazuri anasehemu nzuri ya kama Elfu 22k ndio pazuri .
Nikasema ok Sawa Akaniambia Na pesa ya kuni acha asubuhi unayo ?
Nikasema n shi ngapi?
Akasema Elfu 30
Nikajb mbona nyingi bora tusilale
Akasema Hawezi bila kulala.

Kisha Hapo hapo Akasema niagizie chakula , supu na ndizi Nahis njaa ndio Tuendelee na Haya Maongezi .
moyoni nikasema Hatujaelewana still bado Unaagiza chakula, bado unataka nilale hadi morning .Tena eneo unalotaka ww..nikasema Wanawake Hawana Huruma kabisa Kwetu.

Nilicho Fanya ..Chukua kadi yangu leo na kazi muhimu ya kufanya online .
Kwishnei..Ila Kani Bip wakuu nimrudie siku nyingne au Nimpotezee kama nilivyo amua?

...
My special one Kasafiri Hayuko close na mm kwa Sasa.
...
Majibu wana JF.
Ungalioa yangalikukuta hayo? Ukitiwa sumu na kukatwa korodoni ungelimlaumu nani? Oa mkeo wa ndoa hayo hayatakukuta
 
Back
Top Bottom