BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 442
- 749
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.
Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni kinywaji Bia ni kinywaji hata juice pia...sweki bayana n nn.
Sasa Kuna M Dada mzuri huwa namkuta hapo, Yeye wanakunywa na Marafiki wa kike, na kuondoka zao.
Hivyo kwenye Pasaka hii alikuwa peke yake akawa karbu na meza yangu na kanunua kinywaji chake , pia Nami nikampa ofa baadae nikaona sio mbaya ...ni kumwaeleza Straight ,kuwa nimemwelewa japo sio kwa leo Bali ni muda tu na Mwona hapo na Kila mtu yupo bize kivyake kama Vpi leo Tuondoke wote.
Kwanza Akakubali , pili Akaniambia Kazini utaenda saa ngapi. nikwambia asubuhi .
akajibu Ukitaka Tukalale wote nikasema Kwan mpaka kulala tu Akasema yeye hawezi ku do bila kufika mpaka asubuhi , kulala.
nikasema okay Twende sehemu napo pajua mm ni kama Elfu 15 tu.
akasema Huko sio pazuri anasehemu nzuri ya kama Elfu 22k ndio pazuri .
Nikasema ok Sawa Akaniambia Na pesa ya kuni acha asubuhi unayo ?
Nikasema n shi ngapi?
Akasema Elfu 30
Nikajb mbona nyingi bora tusilale
Akasema Hawezi bila kulala.
Kisha Hapo hapo Akasema niagizie chakula , supu na ndizi Nahis njaa ndio Tuendelee na Haya Maongezi .
moyoni nikasema Hatujaelewana still bado Unaagiza chakula, bado unataka nilale hadi morning .Tena eneo unalotaka ww..nikasema Wanawake Hawana Huruma kabisa Kwetu.
Nilicho Fanya ..Chukua kadi yangu leo na kazi muhimu ya kufanya online .
Kwishnei..Ila Kani Bip wakuu nimrudie siku nyingne au Nimpotezee kama nilivyo amua?
...
My special one Kasafiri Hayuko close na mm kwa Sasa.
...
Majibu wana JF.