Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 9,296
- 13,156
Tutake radhi mkuu mambo yao waachie wenyewe, mwanaume rijali anayejielewa Huwa haongei sana Kukaa kimya pia ni jibu tena Huwa linauma sanaKwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani