Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 626
- 1,173
Ngano na Magugu haviwezi kuhifadhiwa pamoja, vile vile mpunga na pumba haviwezi wekwa pamoja. Usifunge nira na wasioamini.Hafai kwasababu yupo na diamond mbona hii hoja ni dhaifu wewe ulitaka awe na nani ili aonekane mwema?