Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,303
36,825
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.

Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi

Wanaume wapole ndio maana tunakufa mapema, Tina angeolewa na mswahili kama Mwijaku au Manara asingethubutu kumdhalilisha mzee wa watu, angeanikwa hadi siri zake za chumbani.
 
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha,Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi

Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani
Kuna sababu why amekaa kimya, sometimes it for the best. Nature inatuasa kuto kulazimisha
 
Mkuu wacha kufuatilia maisha ya watu.
It is either your business or none of your business.
Kaka udhalilishaji unasema non of our business,kuna hadichama cha wanaume wanaopigwana wake zao,huu ni unyanyasaji kijinsia,abgefanyiwa mwanamke wanaharakati wangeamka huko,wake up guy,tunakufa mapema sababu ya wanawake kama hawa
 
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha,Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi

Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani
Wanaume hatupigani vita vya maneno na wanawake, hasa mitandaoni. Anachokifanya mzee ndiyo uanaume wenyewe. Kula buyu kama hakijatokea kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom