Wanafunzi wa chuo kikuu wapigana kisa mme wa mtu, hawaoni umuhimu wa elimu kuwatoa kimaisha wanaamini katika ukahaba

Hicho chuo nishawahi semarang kilikuwa zamani,kwa sasa hamna kitu,wanafunzi wengi kwanza ni wanajiuzaa
Mambo ya kusema muwategeme wasomi hapo wanazalishwa ni bure kabisa
Naona chawa wa mama anawafukunyuaa tu mabinti sahv

Ova
Kweli kaka, Mimi nilikutana na dogo anasoma hapo alikua jirani yangu, naondoka kitaa yeye yupo primary, juzi namuona tagged na anasoma mwaka wa pili. Ni umalaya tu sijui shida Nini Kwa mabinti wetu.
 
Hahah, ni malezi tu mjomba sasa wanachuo wenzao hawapo?
Wanachuo wenzao hawana pesa, na kingine unajua baadhi ya jamii Binti anaolewa na mtu mzima yani utakuta Binti wa miaka 17 anaolewa na mtu mzima wa miaka 50, Sasa utakuta binti Mama yake aliolewa akiwa na miaka na miaka 18 na Mzee wa miaka 50, na Binti akibahatika kufika chuo aonishida kutembea na mzee au mume wa mtu kwasababu kwenye jamii zao Wanawake wameolewa na Mume mmoja. Binti analeta mifumo ya jamii zao mjini kwa kutgemea labda ataolewa awe mke mdogo kama Mama yake alivyoolewa.
 
Back
Top Bottom