Mshenyentaji
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,047
- 2,924
One's man poison, is one's foodMwanaume mwenyewe mwijaku🙄🙄🙄
Halooo
One's man poison, is one's foodMwanaume mwenyewe mwijaku🙄🙄🙄
Halooo
Kweli kaka, Mimi nilikutana na dogo anasoma hapo alikua jirani yangu, naondoka kitaa yeye yupo primary, juzi namuona tagged na anasoma mwaka wa pili. Ni umalaya tu sijui shida Nini Kwa mabinti wetu.Hicho chuo nishawahi semarang kilikuwa zamani,kwa sasa hamna kitu,wanafunzi wengi kwanza ni wanajiuzaa
Mambo ya kusema muwategeme wasomi hapo wanazalishwa ni bure kabisa
Naona chawa wa mama anawafukunyuaa tu mabinti sahv
Ova
Kwani wanaume si ndo mlivyo, mwijaku ana tofauti gani na wengi wenu? Leo mnaona jambo la ajabu🙄🙄.Wanazo ila kwanini aache mkewe akapige watoto wa chuo tena kama hao
Kitongaa, atakua amewagonga weeeeengi zaidi hata ya 100 sema hao ndio imejulikana.Wanazo ila kwanini aache mkewe akapige watoto wa chuo tena kama hao
Wanataka kamsererekoKweli kaka, Mimi nilikutana na dogo anasoma hapo alikua jirani yangu, naondoka kitaa yeye yupo primary, juzi namuona tagged na anasoma mwaka wa pili. Ni umalaya tu sijui shida Nini Kwa mabinti wetu.
Kwanini tamaa na ujinga isiwe ni kwa huyo mume wa mtu?Tamaa na ujinga nadhani ndio tatizo.
Wanachuo wenzao hawana pesa, na kingine unajua baadhi ya jamii Binti anaolewa na mtu mzima yani utakuta Binti wa miaka 17 anaolewa na mtu mzima wa miaka 50, Sasa utakuta binti Mama yake aliolewa akiwa na miaka na miaka 18 na Mzee wa miaka 50, na Binti akibahatika kufika chuo aonishida kutembea na mzee au mume wa mtu kwasababu kwenye jamii zao Wanawake wameolewa na Mume mmoja. Binti analeta mifumo ya jamii zao mjini kwa kutgemea labda ataolewa awe mke mdogo kama Mama yake alivyoolewa.Hahah, ni malezi tu mjomba sasa wanachuo wenzao hawapo?
Yaani ni ajabu na kweli.mwijaku kweli ni mtu wa kuvuliwa nguo?Mwanaume mwenyewe mwijaku🙄🙄🙄
Halooo
🤔🤔🤔🤔😏Kwanini tamaa na ujinga isiwe ni kwa huyo mume wa mtu?
Sas
Sasa pesa zipo shida ipo wapi
Yaani mwanamke mzuri na akili zake akatembee na mwijaku? Hyo hesabu umetuma njia gani mkuu?madem wenyew wa kawaida
alafu mbona huyo naye amelegea si apigane
Huyo jamaa ni fala inajulikana, naona anamdhalilisha mke wake kinoma, hii ni mara ya 3 nadhani video zinavuja.Kwanini tamaa na ujinga isiwe ni kwa huyo mume wa mtu?
Hili ni tatizo ambalo sisi wanaume tunadhani halituhusu wakati ndiyo chanzo hasa cha tatizo.Wanazo ila kwanini aache mkewe akapige watoto wa chuo tena kama hao
Mwanamke gani mzuri sasa atakubali kudate na mwijakuMwijaku ameokota wabovu sana
Sas
Sasa pesa zipo shida ipo wapi
Mtaani kwemyewe kwa mijini nadhani 80% wanajiuza. Mji kama Dar, Dodoma na Arusha wanawake wengi wana huruka ya kujiuza.takwimu zinaonyesha wanawake wengi, wamepata degree za chupi, kwa kumtunuku Kei mhadhiri mkuu wa chuo kikuu...
Hata kama.hela zi atafutwa ila sio huyo mwijaku mweeSas
Sasa pesa zipo shida ipo wapi