Wakuu naaomba kujua tabia za Wakinga

Status
Not open for further replies.

nzumarijr

Senior Member
Dec 10, 2016
177
111
habari wanajamvi, kama kuna mtu anafaham kuhusu kabila la wakinga na tabia zao anosaidie........
asili yao, masuala ya kiuchumi ma mahusiano yao kimapenzi kwa ujumla..........
maana kuna watu wanasema eti niwachoyo, niwatu wa kujisikia sana, wachawi hasa katika masuala ya kiuchumi na ZAIDI YA YOTE HUWA WABINAFSI KATIKA MAHUSIANO..
naomba kuwasilosha wakuu
 
Waking a sio matajiri ni washirikina sana Kazi, biashara, ndoa vyote hivyo hulindwa Na Uchawi ni kabila linaloamini sana uchawi .Mie no boss wangu hapa Kinondoni kila mwezi hutoroka kwenda kwao japo Kwa Siku 3 kulinda ajira no kabila chafu sana
 
asante mkuu...
naelekea kuupata ukweli.....
vipi suala zima la mahusiano yao kimapenzi........?
 
Huu ni uchochezi wa kikabila..Kwanini tunachafuliana sifa nzuri za makabila yetu acheni hizo vijana..wivu wa maendeleo ni mbaya hasa kusingizia mtu tajiri kaupata kwa sababu ya uchawi !!!!!!!!
 
Ukweli ni kwamba wakinga ni watu wa kujituma sana katika kazi watu wanasema washirikina lakini hebu tembea Mikoa mbali mbali hawa jamaa wanajituma sana na wakiweka malengo lazima wafikie yupo tayari kushinda na njaa ili asave hela aliojipangia kuweka kama akiba, Hata maduka yao ndohuwa ya kwanza kufunguliwa, Kwenye swala la mahusiano wako pouwa pia kazi kwanza starehe baadae
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom