nzumarijr
Senior Member
- Dec 10, 2016
- 177
- 111
habari wanajamvi, kama kuna mtu anafaham kuhusu kabila la wakinga na tabia zao anosaidie........
asili yao, masuala ya kiuchumi ma mahusiano yao kimapenzi kwa ujumla..........
maana kuna watu wanasema eti niwachoyo, niwatu wa kujisikia sana, wachawi hasa katika masuala ya kiuchumi na ZAIDI YA YOTE HUWA WABINAFSI KATIKA MAHUSIANO..
naomba kuwasilosha wakuu