Bandari haijatushinda hivi ndivyo tunavyoishi da ila kwa kweli wakati wa TICTS ilitaka kutushinda sasa tumegutu.Moja na vitu muhimu kabisa kwenye nchi yetu ni Bandari, kwa hiyo Wabunge wa CCM mkithubutu kuiuza bandari yetu kwa waarabu aisee hapatatosha, pelekeni ujumbe huu kwa Mwenyekiti na Katibu wenu mkuu wa chama mapemaa kwamba kinakwenda kunuka.
Suala la kisingizio cha ufanisi ni la kitoto, yaani mnashindwa kuendesha bandari kweli? kweli ? sasa kama Bandari inawashinda hii nchi je utaifikisha wapi?