Tumsaidie Lissu: Aliyeuza Bandari ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika na aache kumsingizia Rais Samia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,071
143,882
Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa maarufu kama Wabunge wa Shujaa

Ni Wabunge hawa wa Tanganyika Akina Aida Kenani wa Chadema Ndio walienda hadi Dubai kuangalia uwezo wa mnunuzi

Ikumbukwe Bandari siyo ya Muungano hivyo hakuna namna yoyote wazanzibar wangeweza kuiuza

Jussa wa ACT wazalendo alisema " Zanzibar hatuhusiki kwa lolote na mambo ya Bandari za Tanganyika, Watanganyika Pambaneni na hali zenu"

Fatma Karume amesema " Bunge la JMT lina Wabunge 50 wa Zanzibar na Wabunge Zaidi ya 250 wa Tanganyika hivyo maamuzi yao yanaweza kuiathiri Zanzibar"

Anachosema Karume ni kwamba nguvu ya Bunge iko mikononi mwa Tanganyika

Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni, Bandari mmeuza wenyewe 🐼

Jumaa Mubarak 😃😃
 
CIVICS ULIPATA NGAPI?.
MTIAJI SAINI NI RAISI AMBAPO WABUNGE WAKIPITISHA AU KUPENDEKEZWA NA RAISI AU WABUNGE
 
Aliyeuza Bandari ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika na aache kumsingizia Rais Samia!
Pamoja na kuwa wale wabunge ni wa mchongo, ila kwenye hili usiwasingizie. Suala la DPW walipelekewa ili kupitisha tu, so walichofanya ni "rubber stamping" ya jambo lililokwisha kukamilishwa.
Ikumbukwe Bandari siyo ya Muungano hivyo hakuna namna yoyote wazanzibar wangeweza kuiuza
Ni kweli Bandari siyo suala la Muungano lakini mchakato mzima ulisimamiwa na waziri wa uchukuzi, wizara ambayo pia siyo ya Muungano, ila waziri mwenye dhamana ni Mzanzibari, Prof Makame Mbarawa !!!

Kwa hiyo waziri mzenji na bosi wake, Sa100, mzenji pia ndiyo wahusika wakuu kwenye hilo sakata
 
Back
Top Bottom