Tumsaidie Lissu: Aliyeuza Bandari ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika na aache kumsingizia Rais Samia!

Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa maarufu kama Wabunge wa Shujaa

Ni Wabunge hawa wa Tanganyika Akina Aida Kenani wa Chadema Ndio walienda hadi Dubai kuangalia uwezo wa mnunuzi

Ikumbukwe Bandari siyo ya Muungano hivyo hakuna namna yoyote wazanzibar wangeweza kuiuza

Jussa wa ACT wazalendo alisema " Zanzibar hatuhusiki kwa lolote na mambo ya Bandari za Tanganyika, Watanganyika Pambaneni na hali zenu"

Fatma Karume amesema " Bunge la JMT lina Wabunge 50 wa Zanzibar na Wabunge Zaidi ya 250 wa Tanganyika hivyo maamuzi yao yanaweza kuiathiri Zanzibar"

Anachosema Karume ni kwamba nguvu ya Bunge iko mikononi mwa Tanganyika

Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni, Bandari mmeuza wenyewe 🐼

Jumaa Mubarak 😃😃
Uamuzi wa mwisho hufanywa na rais, wabunge wakishafanya mambo yao wanampelekea rais, rais anayo hiyari kukubali au kukataa na akitia ngumu bunge linavunjwa tunaanza upya.
 
ndiyo maana tunaikataa hiyo katiba. Tuwe na serikali 3. Rais wa tanganyika asingeruhusu kuuza bandari zetu.
SERIKALI TATU ni gharama kwa Tanganyika. Hatutaki tena stress za muungano.

Tunapoteza nafasi za ajira za vijana wa Tanganyika zinazochukuliwa na Wazanzibar, TRA, NSSF, NMB, TPA, etc etc.. Halmashauri, mawizarani, ubalozini. Zanzibar watu mil moja wametengewa nafasi zao, sisi mil 62 tunagombania ambazo Zanzibar hawajachukua.

Gharama ya kukosa Katiba Mpya iliyokwamishwa na mjadala wa serikali tatu vs moja.

Gharama za mabilioni za kutunza wastaafu wao, Muhammed Shein, Salmin Amur, Karume Mtoto, Mjane wa Jumbe, Mjane wa Iddris Abdul Wakil, Mjane wa Karume, mjane wa Omar Ali Juma, wajane watatu wa Mwinyi .... Hayo ni ma landcruiser na maintance costs na mafuta, na mavocha ya simu, na ma overtime ya madereva, na grocery na ma suti ya bure, na ma tiketi ya international flights business class....

Gharama za wabunge 80 wa Zanzibar, NHIF inalipa cash dollars hawa watu wakienda kutibiwa South Afrika, India, hata Ulaya. Mzigo mkubwa kwa Tanganyika... tunawahitaji wa nini Dodoma kuongelea ya Makunduchi na Kiembe Samaka wakati hatufaidiki na chochote cha Makunduchi na Kiembe Samaki?

Haturuhusiwi kununua eneo wala kufanya kazi Kiembe Samaki. Bungeni kwetu wanatafuta nini? Temeke ina wabunge 6, wapiga kura milioni 1 laki 2, Zanzibar wabunge 80 wapiga kura laki tano. Wabunge 80 ni uwakilishi uliopitiliza na usio na usawa na ni mzigo wa kijinga tunaubeba. Ubaguzi juu ya ubaguzi.

Kazi ikitangazwa Zanzibar wanasena sharti la kwanza uwe Mzanzibar. Huku kwetu wanapeta tu... wanachukua ardhi wanaishi, sasa Mama Samia amepata udiriki na uthubutu anachukua mpaka ardhi anawapa Waarabu!

Jana kachukua ardhi za Wachagga anasema ni eneo la Kilimanjaro Airport, kawapa Oman Airports wafanye biashara, wahamishe pesa iende Oman, wapandishe wanyama kwenye ndege waendeleze mbuga katikati ya Arab Desert!

The legacy of Julius Nyerere is tainted by the inexplicably foolish decision to divvy up the resources of the country with the Island of Zanzibar. For nothing in return.
 
SERIKALI TATU ni gharama kwa Tanganyika. Hatutaki serikali tatu, hatutaki tena stress za muungano.

Tunapoteza nafasi za ajira za vijana wa Tanganyika zinazochukuliwa na Wazanzibar, TRA, NSSF, NMB, TPA, etc etc.. Halmashauri, mawizarani, ubalozini. Zanzibar watu mil moja wametengewa nafasi zao, sisi mil 62 tunagombania ambazo Zanzibar hawajachukua.

Gharama ya kukosa Katiba Mpya iliyokwamishwa na mjadala wa serikali tatu vs moja.

Gharama za mabilioni za kutunza wastaafu wao, Muhammed Shein, Salmin Amur, Karume Mtoto, Karume Baba, Mjane wa Jumbe, Mjane wa Iddris Abdul Wakil, Omar Ali Juma, Mwinyi Mdogo na wake zake.... Hayo ni ma landcruiser na maintance costs na mafuta, na mavocha ya simu, na ma overtime ya madereva, na grocery na ma suti ya bure, na ma tiketi ya international flights business class....

Gharama za wabunge 80 wa Zanzibar, NHIF inalipa cash dollars hawa watu wakienda kutibiwa South Afrika, India, hata Ulaya. Mzigo mkubwa kwa Tanganyika... tunawahitaji wa nini Dodoma kuongelea ya Makunduchi na Kiembe Samaka wakati hatufaidiki na chochote cha Makunduchi na Kiembe Samaki?

Haturuhusiwi kununua eneo wala kufanya kazi Kiembe Samaki. Bungeni kwetu wanatafuta nini? Temeke ina wabunge 6, wapiga kura milioni 1 laki 2, Zanzibar wabunge 80 wapiga kura laki tano. Wabunge 80 ni uwakilishi uliopitiliza na usio na usawa na ni mzigo wa kijinga tunaubeba. Ubaguzi juu ya ubaguzi.

Kazi ikitangazwa Zanzibar wanasena sharti la kwanza uwe Mzanzibar. Huku kwetu wanapeta tu... wanachukua ardhi wanaishi, sasa Mama Samia amepata udiriki na uthubutu anachukua mpaka ardhi anawapa Waarabu!

Jana kachukua ardhi za Wachagga anasema ni eneo la Kilimanjaro Airport, kawapa Oman Airports wafanye biashara, wahamishe pesa iende Oman, wapandishe wanyama kwenye ndege waendeleze mbuga katikati ya Arab Desert!

The legacy of Julius Nyerere is tainted by the inexplicably decision to divvy up the resources of the country and hand over to the Island of Zanzibar. For nothing in return.
Ardhi ya wachagga 🐼
 
Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa maarufu kama Wabunge wa Shujaa

Ni Wabunge hawa wa Tanganyika Akina Aida Kenani wa Chadema Ndio walienda hadi Dubai kuangalia uwezo wa mnunuzi

Ikumbukwe Bandari siyo ya Muungano hivyo hakuna namna yoyote wazanzibar wangeweza kuiuza

Jussa wa ACT wazalendo alisema " Zanzibar hatuhusiki kwa lolote na mambo ya Bandari za Tanganyika, Watanganyika Pambaneni na hali zenu"

Fatma Karume amesema " Bunge la JMT lina Wabunge 50 wa Zanzibar na Wabunge Zaidi ya 250 wa Tanganyika hivyo maamuzi yao yanaweza kuiathiri Zanzibar"

Anachosema Karume ni kwamba nguvu ya Bunge iko mikononi mwa Tanganyika

Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni, Bandari mmeuza wenyewe 🐼

Jumaa Mubarak 😃😃
Unaujua ukweli ila unajaribu kufanya spinning tu.

Ni lini kwenye historia ya nchi hii bunge lilikuwa huru kiasi Cha kukatalia mipango na sera mbovu za serikali

Wabunge wa ccm eana party caucus mbayo iko chini ya chama Cha mwenyeki/raisi mungu mtu

bunge linawezaje kufurukuta au kupinga bila mwenyekiti /raisi kulivunja
Tuna katiba ya hovyo inayompa raisi nguvu kuliko mihimili mingine yote

bahati mbaya katiba hiyo imetuletea raisi wa kuazima kutoka visiwani

Imekua ni nafasi adhimu kwa wale jamaa wanaotwa makuwadi wa soko huria au ecomic hit men kumrubuni huyu mzanzibati kuuza nchi

Katiba mbovu bwashee
 
Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa maarufu kama Wabunge wa Shujaa

Ni Wabunge hawa wa Tanganyika Akina Aida Kenani wa Chadema Ndio walienda hadi Dubai kuangalia uwezo wa mnunuzi

Ikumbukwe Bandari siyo ya Muungano hivyo hakuna namna yoyote wazanzibar wangeweza kuiuza

Jussa wa ACT wazalendo alisema " Zanzibar hatuhusiki kwa lolote na mambo ya Bandari za Tanganyika, Watanganyika Pambaneni na hali zenu"

Fatma Karume amesema " Bunge la JMT lina Wabunge 50 wa Zanzibar na Wabunge Zaidi ya 250 wa Tanganyika hivyo maamuzi yao yanaweza kuiathiri Zanzibar"

Anachosema Karume ni kwamba nguvu ya Bunge iko mikononi mwa Tanganyika

Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni, Bandari mmeuza wenyewe 🐼

Jumaa Mubarak 😃😃
Mzanzibar Rais katoa Power of attorney kwa Mzanzibar mwenzake Mbarawa Mtanganyika kahusika wapi!.
 
Unaujua ukweli ila unajaribu kufanya spinning tu.

Ni lini kwenye historia ya nchi hii bunge lilikuwa huru kiasi Cha kukatalia mipango na sera mbovu za serikali

Bunge Lina party caucus ambayo iko chini ya chama Cha mwenyeki/raisi mungu mtu

bunge linawezaje kufurukuta au kupinga bila mwenyekiti /raisi kulivunja
Tuna katiba ya hovyo inayompa raisi nguvu kuliko mihimili mingine yote

Sas bahati mbaya katiba hiyo imetuletea raisi wa kuazima kutoka visiwani

Imekua ni nafasi adhimu kwa wale jamaa wanaotwa makuwadi wa soko huria au ecomic hit men kumrubuni huyu mzanzibati kuuza nchi

Katiba mbovu bwashee
Mimi nakubaliana Kabisa na Ismail Jussa wa ACT Wazalendo aliyesema " Watanganyika Hawajitambui"

Waziri Hamza wa SMZ alisema " Watanganyika ni Wavivu wa kusoma Historia Ndio sababu hawatajitambua"

Mchawi ni wabunge wasio Jasiri
 
Pamoja na kuwa wale wabunge ni wa mchongo, ila kwenye hili usiwasingizie. Suala la DPW walipelekewa ili kupitisha tu, so walichofanya ni "rubber stamping" ya jambo lililokwisha kukamilishwa.

Ni kweli Bandari siyo suala la Muungano lakini mchakato mzima ulisimamiwa na waziri wa uchukuzi, wizara ambayo pia siyo ya Muungano, ila waziri mwenye dhamana ni Mzanzibari, Prof Makame Mbarawa !!!

Kwa hiyo waziri mzenji na bosi wake, Sa100, mzenji pia ndiyo wahusika wakuu kwenye hilo sakata
Ukweli ndiyo huo.
 
Mimi nakubaliana Kabisa na Ismail Jussa wa ACT Wazalendo aliyesema " Watanganyika Hawajitambui"

Waziri Hamza wa SMZ alisema " Watanganyika ni Wavivu wa kusoma Historia Ndio sababu hawatajitambua"

Mchawi ni wabunge wasio Jasiri
Wabunge wa Rushwa na maamuzi ni Kirushwa rushwa penyeza rupia kufanikisha michongo
 
Back
Top Bottom