Vituko vya mochwari

Natamani kuona cv yako
 
Kuna illusions na kuna reality pia nimefanya kazi mochwari najua
MSHANA NO, CONTENTION YAKO IS TOTALLY AGAINST SCIENCE! IMPOSSIBLE. Ngoja nikupe kisa, kuna mortuary attendant alikuwa na tabia ya kuuza viungo vya binadamu. Watu wanaweka wafu wao kesho wanakuta amegeuzwa hivi na vile tofauti na walivyomweka. Ndugu wa wafu wakawa wanajiuliza mbona hawa maiti wanabadilika? Malalamiko yakaanza. Wenye uelewa, wasioamini hayo unayoyasema wakafuatilia with scientifc means. Wakakuta kuwa yule attendant alikuwa ana temper na maiti for whatever reasons! Sio story tunaye na sasa ameacha , alifukuzwa mortuary
 
sasa unadhani inawekwa moja kwa moja humo bila kuandaliwa???.
 
Retired hatubishani nimefanya kazi mochwari kuna scenario za ajabu kule pamoja na hizo ulizozungumzia
Ni vitu vinatokea mara chache lakini vipo
 
Mshana, I respect you much brother but this is not fair,
no health personal who is allowed kutoa izo siri ikiwa za patient, client au hata deadbody, don't act like a kid brother u are grown up enough, don't do this please...
Mmh hivi kuna mahali nimetaja jina la hata mtu mmoja?pls jaribu kusoma tena nilichoandika
Ila naomba radhi pale nilippkukwaza
 
Nina hakika hajawahi kuingia mochwari, mpaka maiti iwe hapo hivyo ilivyo imeshapitia process nyingi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…