Lifelesssly.Yaah believe me one day u will reach there
Attendant mwenyewe atakuwa nani?Nikikukubalia ujue mimi ni attendant bandia
Natamani kuona cv yakoJamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu... ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ? na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba....
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi..
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui
MSHANA NO, CONTENTION YAKO IS TOTALLY AGAINST SCIENCE! IMPOSSIBLE. Ngoja nikupe kisa, kuna mortuary attendant alikuwa na tabia ya kuuza viungo vya binadamu. Watu wanaweka wafu wao kesho wanakuta amegeuzwa hivi na vile tofauti na walivyomweka. Ndugu wa wafu wakawa wanajiuliza mbona hawa maiti wanabadilika? Malalamiko yakaanza. Wenye uelewa, wasioamini hayo unayoyasema wakafuatilia with scientifc means. Wakakuta kuwa yule attendant alikuwa ana temper na maiti for whatever reasons! Sio story tunaye na sasa ameacha , alifukuzwa mortuaryKuna illusions na kuna reality pia nimefanya kazi mochwari najua
sasa unadhani inawekwa moja kwa moja humo bila kuandaliwa???.Acha uongo bwana mkubwa...
Unasema maiti kukonyeza, kuchanua miguu??
Unayaonaje hayo wakati maiti tangu wodini mpaka mchwari huwa zimefunikwa....
Hata picha hapo juu inakuumbua, zote zimefunikwa hizo... Sijui hiyo konyeza unatumia darubini..
Huoni kwamba huo ni uongo ili tu upate kuvuta attention ya watu.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Retired hatubishani nimefanya kazi mochwari kuna scenario za ajabu kule pamoja na hizo ulizozungumziaMSHANA NO, CONTENTION YAKO IS TOTALLY AGAINST SCIENCE! IMPOSSIBLE. Ngoja nikupe kisa, kuna mortuary attendant alikuwa na tabia ya kuuza viungo vya binadamu. Watu wanaweka wafu wao kesho wanakuta amegeuzwa hivi na vile tofauti na walivyomweka. Ndugu wa wafu wakawa wanajiuliza mbona hawa maiti wanabadilika? Malalamiko yakaanza. Wenye uelewa, wasioamini hayo unayoyasema wakafuatilia with scientifc means. Wakakuta kuwa yule attendant alikuwa ana temper na maiti for whatever reasons! Sio story tunaye na sasa ameacha , alifukuzwa mortuary
Mmh hivi kuna mahali nimetaja jina la hata mtu mmoja?pls jaribu kusoma tena nilichoandikaMshana, I respect you much brother but this is not fair, no health personal who is allowed kutoa izo siri ikiwa za patient, client au hata deadbody, don't act like a kid brother u are grown up enough, don't do this please...
Nina hakika hajawahi kuingia mochwari, mpaka maiti iwe hapo hivyo ilivyo imeshapitia process nyingiAcha uongo bwana mkubwa...
Unasema maiti kukonyeza, kuchanua miguu??
Unayaonaje hayo wakati maiti tangu wodini mpaka mchwari huwa zimefunikwa....
Hata picha hapo juu inakuumbua, zote zimefunikwa hizo... Sijui hiyo konyeza unatumia darubini..
Huoni kwamba huo ni uongo ili tu upate kuvuta attention ya watu.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kufanya kazi monchwar inaitaji ujasir sana binasfi nna kakaangu alikuwa anafanya kazi huko
Kila siku alikuwa ananiambia daaaaah ile kazi bila kuvuta mmea uwezi piga
Kuna maiti zinaletwa pale zaajabu
-zingine eti zinaamka zinafanya mazoezi zikimaliza zinakufa tena
-zingine ukiziangalia sana zinaamka zinakuuliza unamuangalia nani zingine zinakukonyeza
-zingine zilikuwa zinamuomba adi simu ziwapigie ndugu zao we acha tu