wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
mkuu huyu itakua aliamua kuondoka na utamu wake maana ana ng'ata lips araf naona kama mikono ipo kwenye zakali.
kuusu maiti kugomea nguo hii imekaaje?
au kugoma kuingia kwenye geneza
Kumbe mochwari ndo pako hivi, duh! NOT A PLACE TO BE WHEN ALIVE!
Hapa hapanifai
Hahahahaha lol! Nimecheka kama mazuri. Sikutaka kuifungua hii thread lakini nikasema nichungulie haraka haraka. Mie na baadhi ya threads za mshana jr mbali mbali kabisa! Huwa nazipita kwa mbaaaaali!
CC: Honey Faith
Kule maisha yanaendelea kama kawaKuna spirits nyingi sana zinatembelea mochwari.
Nina jamaa zangu watatu ambao walikuwa announced died na waliingizwa muchwari but baada ya masaa kadhaa walizinduka na kurudishwa wodini.
Wana sema hawawezi kusahau hiyo siku