Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,736
- 20,739
Nawaza kwa sauti tu sijui mwili wa Bashite utakuwa na pozi gani.
Kuna spirits nyingi sana zinatembelea mochwari.
Nina jamaa zangu watatu ambao walikuwa announced died na waliingizwa muchwari but baada ya masaa kadhaa walizinduka na kurudishwa wodini.
Wana sema hawawezi kusahau hiyo siku
Hahaa,nimecheka lkn ndo ukweli.ili uweze kufanya kazi huko lazima uwe chiziKufanya kazi monchwar inaitaji ujasir sana binasfi nna kakaangu alikuwa anafanya kazi huko
Kila siku alikuwa ananiambia daaaaah ile kazi bila kuvuta mmea uwezi piga
Kuna maiti zinaletwa pale zaajabu
-zingine eti zinaamka zinafanya mazoezi zikimaliza zinakufa tena
-zingine ukiziangalia sana zinaamka zinakuuliza unamuangalia nani zingine zinakukonyeza
-zingine zilikuwa zinamuomba adi simu ziwapigie ndugu zao we acha tu
Mahaba Jr tangulini marehemu wakawa viumbe??Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu... ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ? na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba....
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi..
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui
Je akifa mlokole huwa anakuwa na pozi ganiJamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu... ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ? na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba....
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi..
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui
Hao wanaoonekana kupanua miguu huwa wanapanuliwa. Wahudumu wa huko sio watu wazuri.
Maiti inapotolewa hospital hufunikwa ikifika mochwar haiwekwi moja kwa moja kwenye jokofu Bali kuna chumba maalumu tofauti na cha majokofu ambapo hulazwa kwa mda flan pia hyo sehem ndio wanaitia dawa maiti. Maiti hukaa kwenye chumba hicho kwa mda wa masaa matatu hadi manne na inakuwa imefunuliwa mashuka inakuwa uchi kabisa..Acha uongo bwana mkubwa...
Unasema maiti kukonyeza, kuchanua miguu??
Unayaonaje hayo wakati maiti tangu wodini mpaka mchwari huwa zimefunikwa....
Hata picha hapo juu inakuumbua, zote zimefunikwa hizo... Sijui hiyo konyeza unatumia darubini..
Huoni kwamba huo ni uongo ili tu upate kuvuta attention ya watu.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng