Vituko vya mochwari

Acha uongo bwana mkubwa...

Unasema maiti kukonyeza, kuchanua miguu??

Unayaonaje hayo wakati maiti tangu wodini mpaka mchwari huwa zimefunikwa....

Hata picha hapo juu inakuumbua, zote zimefunikwa hizo... Sijui hiyo konyeza unatumia darubini..

Huoni kwamba huo ni uongo ili tu upate kuvuta attention ya watu.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Kuna spirits nyingi sana zinatembelea mochwari.

Nina jamaa zangu watatu ambao walikuwa announced died na waliingizwa muchwari but baada ya masaa kadhaa walizinduka na kurudishwa wodini.

Wana sema hawawezi kusahau hiyo siku

Dead.
 
Hahaa,nimecheka lkn ndo ukweli.ili uweze kufanya kazi huko lazima uwe chizi
 
Mshana, I respect you much brother but this is not fair,
no health personal who is allowed kutoa izo siri ikiwa za patient, client au hata deadbody, don't act like a kid brother u are grown up enough, don't do this please...
 
Mahaba Jr tangulini marehemu wakawa viumbe??
 
Je akifa mlokole huwa anakuwa na pozi gani
 
Maiti inapotolewa hospital hufunikwa ikifika mochwar haiwekwi moja kwa moja kwenye jokofu Bali kuna chumba maalumu tofauti na cha majokofu ambapo hulazwa kwa mda flan pia hyo sehem ndio wanaitia dawa maiti. Maiti hukaa kwenye chumba hicho kwa mda wa masaa matatu hadi manne na inakuwa imefunuliwa mashuka inakuwa uchi kabisa..
Kama umewahi kufanya postmotam utakubaliana na mshana jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…