Viongozi wa Dini waliopewa Vibali vya kuagiza Sukari kuanikwa hadharani muda wowote kuanzia sasa

LOoo, haya mambo yanakwenda mbio sana.
Unasema serikali imetoa vibari kwa taasisi za kidini kufanya biashara ya sukari, au nakusoma visvyo?

Kama ndivyo, huu ndio ulaghai tunaousema kila siku unaofanywa na hawa viongozi.
Sasa wanatumia kila njia kuwahadaa watu, ili wapewe nafasi ya kuendelea na uongozi ambao umewashinda.
Hawa watu wa dini watashiriki katika hujuma juu ya taifa hili kama watatumiwa kijinga namna hii.
 
Nadhani lissu sio mgeni kwetu,ni mtu anayeongea hovyo bila break kwa mdomo wake,hana jipya na wala hata taja .Believe me!!
Ukoo wako, familia yako hakuna mtu ambaye atakuja au ni inteligent kama Lisu na hamtakuja kumzaaa. Tangu Albert Einstein afe hakuna scientist ambaye ni extraordinary bright kama Einstein, likewise Lisu. Hakuna
 
Kazi kuu ya Viongozi wa dini ni kuchunga kondoo wa Mungu, iwe Makanisani au Misikitini ama kwingineko.

Sasa hili la kupewa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje ya Nchi ni jambo jipya, na je kwanini wapewe wao? Walipitia mchakato gani, wameanza lini kufanya biashara hiyo, makampuni yao ni yapi?

Muda wowote kuanzia sasa wataanikwa hadharani bila huruma yoyote, Hii ni kwa sababu hakuna kiongozi yeyote wa kweli wa Dini anayeweza kushirikiana na Shetani.

Taarifa zingine zinasema kwamba hizo juhudi kubwa zinazopandikizwa mitandaoni kuonyesha kwamba Chadema kuna mgogoro zimelenga ku divert jambo hili , Hata hivyo imeshindikana .

Usiondoke JF
Waanikwe haraka sana !
 
Achilia mbali kuagiza Sukari hata Fedha za kulipa mishahara Watumishi huwa wanaombwa ikibidi
Kwa sababu raia wengi ni wajinga na kukosa maarifa, dini hutumika kama njia ya kuwapumbaza ili wanyonywe na kutawaliwa kirahisi.
Kwa watu wenye akili na maarifa, kumjua Mungu (KWELI), haipatikani kwenye dini wala nyumba za ibada tu. Uovu wa viongozi wa siasa unapounganika na ule wa viongozi wa dini ni hatari sana kwa wananchi (unyonyaji huongezeka sana).
 
Kazi kuu ya Viongozi wa dini ni kuchunga kondoo wa Mungu, iwe Makanisani au Misikitini ama kwingineko.

Sasa hili la kupewa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje ya Nchi ni jambo jipya, na je kwanini wapewe wao? Walipitia mchakato gani, wameanza lini kufanya biashara hiyo, makampuni yao ni yapi?

Muda wowote kuanzia sasa wataanikwa hadharani bila huruma yoyote, Hii ni kwa sababu hakuna kiongozi yeyote wa kweli wa Dini anayeweza kushirikiana na Shetani.

Taarifa zingine zinasema kwamba hizo juhudi kubwa zinazopandikizwa mitandaoni kuonyesha kwamba Chadema kuna mgogoro zimelenga ku divert jambo hili , Hata hivyo imeshindikana .

Usiondoke JF
Wanaopewa Kigali kuagiza sukari ni wenye viwanda
 
LOoo, haya mambo yanakwenda mbio sana.
Unasema serikali imetoa vibari kwa taasisi za kidini kufanya biashara ya sukari, au nakusoma visvyo?

Kama ndivyo, huu ndio ulaghai tunaousema kila siku unaofanywa na hawa viongozi.
Sasa wanatumia kila njia kuwahadaa watu, ili wapewe nafasi ya kuendelea na uongozi ambao umewashinda.
Hawa watu wa dini watashiriki katika hujuma juu ya taifa hili kama watatumiwa kijinga namna hii.
Ndivyo ilivyo !
Wanasemaga Pesa ni sabuni ya roho !
Na penye udhia penyeza rupia !
Maneno ya Waswahili hayo si maneno yangu !
 
Kazi kuu ya Viongozi wa dini ni kuchunga kondoo wa Mungu, iwe Makanisani au Misikitini ama kwingineko.

Sasa hili la kupewa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje ya Nchi ni jambo jipya, na je kwanini wapewe wao? Walipitia mchakato gani, wameanza lini kufanya biashara hiyo, makampuni yao ni yapi?

Muda wowote kuanzia sasa wataanikwa hadharani bila huruma yoyote, Hii ni kwa sababu hakuna kiongozi yeyote wa kweli wa Dini anayeweza kushirikiana na Shetani.

Taarifa zingine zinasema kwamba hizo juhudi kubwa zinazopandikizwa mitandaoni kuonyesha kwamba Chadema kuna mgogoro zimelenga ku divert jambo hili , Hata hivyo imeshindikana .

Usiondoke JF
Mgogoro upo chadema juzi nilikwambia lissu kafanya maandamano bila baraka za chama ukaniita muongo ninazo taarifa za ndani kuliko wewe!
 
Back
Top Bottom