Viongozi wa Dini waliopewa Vibali vya kuagiza Sukari kuanikwa hadharani muda wowote kuanzia sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,442
219,944
Kazi kuu ya Viongozi wa dini ni kuchunga kondoo wa Mungu, iwe Makanisani au Misikitini ama kwingineko.

Sasa hili la kupewa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje ya Nchi ni jambo jipya, na je kwanini wapewe wao? Walipitia mchakato gani, wameanza lini kufanya biashara hiyo, makampuni yao ni yapi?

Muda wowote kuanzia sasa wataanikwa hadharani bila huruma yoyote, Hii ni kwa sababu hakuna kiongozi yeyote wa kweli wa Dini anayeweza kushirikiana na Shetani.

Taarifa zingine zinasema kwamba hizo juhudi kubwa zinazopandikizwa mitandaoni kuonyesha kwamba Chadema kuna mgogoro zimelenga ku divert jambo hili , Hata hivyo imeshindikana .

Usiondoke JF
 
Hakunaga jipya hapo

Kwa mfano Kanisa Moja Takatifu La Mitume lina miradi mikubwa mikubwa hivyo Bashe kuwaomba waagize Sukari kusaidia taifa ni jambo dogo sana

Ikumbukwe mh Bashe wakiwa na Rostam Aziz walimtembelea Baba Mtakatifu Papa Francisco aketiye Kitini pake mtume Petro 😁😁
 
Yaani kanisa Liambiwe liagize sukari,na unaona sawa tu!!?..
 
Back
Top Bottom