MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,609
- 3,395
Tumeni hizo codes wakuu, Betpawa Sportybet
Labda uingie wewe uwanjani 😂😂..Inatoka kaka hata 2.5 wewe weka tuGame ya Bayern na Leipzig over 1.5 itatoa wakuu?
Nafikiri kumekuwepo na kulegalega kwenye uthibiti, betting inatakiwa ifanywe maeneo maalumu ya kibiashara hasa maeneo ya starehe ambako huwezi kuta watoto na vijana wadogo wakiwa wamejazana huko. Sasa huyu aliyeleta leseni za betting kufanyika kila kona ya mtaa alikuwa analenga nini hasa?
Ndio MkuuKwahiyo kuliwa/kupoteza ni starehe?
Kwamba huoni kilio cha ajira mitaani au? Kama siyo solution kwanini wanasoma?kwani ajira ndiyo solution?
na unakika gani ajira zinanyimwa?
OkInshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.
Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
Bahati mbaya nchi walizowekeza betting kwa wingi zina maendeleo kuliko TanzaniaBetting au kamari inaathiri Moja Kwa moja akili ya mtu,kwanza ni kulemaza fikra zake ivyo kukosa ubunifu kwa mambo mhimu,,na yenye tija,,kupoteza nguvu kazi ya taifa,yaani athari za kamari zinazidi hata dawa za kulevya!!,nchi yaangalia zaidi mapato,lkn hili ni janga,dini karibu zote zinaipinga kamari, kwasababu ya athari zake mbaya kwa jamii.
....Toa Solution. Ufutwe ??...Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.
Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
Ila nashangaa sanaakili zinachotwa mkuu ubunifu unatoka wapi wakati unaishi kwa matumaini?
How possible!!!Bahati mbaya nchi walizowekeza betting kwa wingi zina maendeleo kuliko Tanzania
Sasa vijana wa secondary ajira za nini? Na hata wale waliomaliza kusoma hawapendi kujishughulisha wanapenda hela za fasta.Wapeni ajira waache kubet
Saaafi hela ya mpaka mwaka mpya 3.5 imelipaLabda uingie wewe uwanjani 😂😂..Inatoka kaka hata 2.5 wewe weka tu
Most of themKwahiyo wanao bet hawana ajira?