ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 21,904
- 33,401
Forex sio gambling ww akili fupi.Washauri na wale wacheza forex waache..
Though unaweza uka-gamble
Forex sio gambling ww akili fupi.Washauri na wale wacheza forex waache..
Leipzig sio wa kumuaminiGG uhakikia kaka
Dah hapo umeamua kujilipuaBayern win & over 1.5
Mpe Leipzig apate goli moja odds 1.60Game ya Bayern na Leipzig over 1.5 itatoa wakuu?
Kwa hiyo mkuu unashauri leo tusimpe Bayern? Vipi Leipzig over 1.5 itatoa?Siku moja niliamua kujichanganya mitaani, nikapiga mitaani nikaangukia mitaani Fulani hivi Kuna sehemu ya kuonesha mpira, aisee mambo ni mazito kidogo, mbele yangu kulikuwa na vijana wanavuja jasho na hawajatulia, wanababaika mara wanatukana matusi huku wakiweweseka, mwanzo nilidhani ni vibe la gemu kumbe sivyo niliwasikia wakiongelea mikeka, matusi yote ni Kwa Bayern siku ile, Banda karibu zima vijana wamesuka mikeka na Kila muda wako na simu...naijua betting lakini sikudhani kwamba inaweza kuwaathiri watu kiasi hicho, ngoja niwaambie kitu, HAKUNA KITU AU JAMBO BAYA KAMA VILE KUFANYA JAMBO AU TUKIO FULANI LIKUKUTE HALAFU IKIWA HAUNA ELIMU NALO YA KINA KABISA AU HAUJAJIANDAA NALO, ndivyo Sasa hivi afrika Hali inayotukumba, yanakuja mambo mengi ambayo hatujajiandaa nayo mentally kukabiliana nayo.
Nishaweka mkekaMpe Leipzig apate goli moja odds 1.60
Hao ni maafisa ubashiri mkuu , give them respectInshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.
Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
Haha, wewe ndo punter unajua zaidi.Kwa hiyo mkuu unashauri leo tusimpe Bayern? Vipi Leipzig over 1.5 itatoa?
Kwani wanaobet wenyewe wamelalamika?Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.
Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
Kwahiyo wanao bet hawana ajira?Wapeni ajira waache kubet
kwaiyo vijana wako wanapiga kazi uwanjani wewe unasubiria tu mpunga dk 90Tuna kazi, tunabeti na hatuachi. Utaachaje kazi kama hii. Yaani wewe umeweka fedha, vijana wanatoka jasho uwanjani, halafu wewe unakula fweza.View attachment 3180835View attachment 3180836View attachment 3180837View attachment 3180838View attachment 3180840
Kwahiyo kuliwa/kupoteza ni starehe?Betting ni starehe
Hapo weka Gg Mkuu Hii uwakika kutoa maana Ligi za Ujerumani wanafungana sana😀Game ya Bayern na Leipzig over 1.5 itatoa wakuu?
Nishatia Laki mkuu, Ngoja tusubiriHapo weka Gg Mkuu Hii uwakika kutoa maana Ligi za Ujerumani wanafungana sana😀